mbinguni
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 2,759
- 1,061
Godbless Lema ni Mbunge aliyemaliza muda wake na Mrisho Gambo ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha aliyetumbuliwa.
Lema anekuwa Mbunge kwa zaidi ya miaka kumi sasa lakini mara nyingi amekuwa akizitumikia kesi Mahakamani na kukosa muda wa kutosha wa kuwahudumia wapiga kura wake.
Wakati Gambo amekuwa Mkuu wa Mkoa kwa kipindi kifupi sana amabacho amekitumia kuhamasisha maendeleo kwa baadhi ya maeneo na hasa eneo la Muriet analoishi.