Uchaguzi 2020 Nani ataibuka mshindi kwenye kinyang'anyiro cha Kiti cha Ubunge 2020 jimbo la Arusha Mjini, kati ya Mrisho Gambo na Godbless Lema?

Uchaguzi 2020 Nani ataibuka mshindi kwenye kinyang'anyiro cha Kiti cha Ubunge 2020 jimbo la Arusha Mjini, kati ya Mrisho Gambo na Godbless Lema?

Unamaanisha zile kura za kuhesabiwa kwenye TV mubashara? Wakisikia hilo, korodani zinawasinyaa kama wameoga maji ya barafu!
Tuwaachie wananchi. Tunaomba mchakato uliotumika kuwapata utumike pia hapo October 25.
 
"Vijana walizaliwa 1982 wanatamaa" jpm
Kwakuzingatia hilo wanaARUSHA tunaenda na Lema.
 
Wakuu, sisi wakazi wa Kaskazini ambao tunaishi huku, tunaweza kukuambia majimbo ambayo Chadema inaweza kupoteza. Na kitu kingine kipya ni hali ya uchangamfu na ushabiki umepungua sana 2020. Kipindi kama hichi cha uchaguzi 2015 ukitembelea huku ilikuwa unajua Nchi inakwenda Upinzani.

Ushabiki wa kwetu Kaskazini ni wa wazi hauna kificho, iwe sokoni, Baa, kilabu cha pombe za kienyeji, mashambani, kanisani na popote penye mkusanyiko wa watu.

Na usidanganywe na mtuu yeyote, kuna hali fulani ya kusema ngoja tupigie CCM tuone labda kuna matunda. Hii ndio hali haklisi ila kuna majimbo au jimbo linalo weza kubaki Chadema.

Nguvu ya upinzani imepungua sana huku Kaskazini yote, kuna hali ya kuona tukiendelea tutatengwa.

KINYUME NA HUU USHAHIDI NI KINYUME NA HALI HALISI LABDA KUJIPA MOYO.

Hiyo kaskazini sio wapiga kura wa ccm na wala hawaikubali ccm. Kwanza hawaogopi kutengwa kama unavyosema maana wana maendeleo ya kuridhisha. Kilichoko huko kaskazini wengi wamepuuza box la kura, baada ya wale waliowapigia kura kuhamia ccm, na bado wakati wa chaguzi za marudio watu wameshuhudia chaguzi za kishenzi, kihayawani, na ukatili wa wazi ili ccm watangazwe washindi. Hivyo watu wa huko kaskazini wamelipuuza box la kura, maana tume hii ya uchaguzi sio huru, na inatangaza washindi kwa shinikizo la mwenyekiti wa ccm.
 
Unamaanisha zile kura za kuhesabiwa kwenye TV mubashara? Wakisikia hilo, korodani zinawasinyaa kama wameoga maji ya barafu!

Hata ule uhesabuji umefanyika na kuhesabiwa hadharani ili kuhadaa watu kuwa kuna uwazi, lakini mpeperusha bendera wa ccm, sio lazima awe ni yule aliyeongoza kwa kura. Vikao vitakavyoteua mpeperusha bendera vitakuwa sio vya wazi.
 
Kma Gambo akiwa mkuu wa mkoa alikuwa akiongoza ugomvi na viongozi wengine sasa leo anwe mbunge si ugomvi kila siku? au mie ndio sikusikia vema ?
 
kama kujenga lami na hospitali ni matumizi ya madaraka vibaya ni heri sana kuyatumia vibaya!

Kujenga hospitali na barabara hata wakoloni walijenga. Je tuliwatoa kwanini?
 
Hiyo kaskazini sio wapiga kura wa ccm na wala hawaikubali ccm. Kwanza hawaogopi kutengwa kama unavyosema maana wana maendeleo ya kuridhisha. Kilichoko huko kaskazini wengi wamepuuza box la kura, baada ya wale waliowapigia kura kuhamia ccm, na bado wakati wa chaguzi za marudio watu wameshuhudia chaguzi za kishenzi, kihayawani, na ukatili wa wazi ili ccm watangazwe washindi. Hivyo watu wa huko kaskazini wamelipuuza box la kura, maana tume hii ya uchaguzi sio huru, na inatangaza washindi kwa shinikizo la mwenyekiti wa ccm.
Mkuu nashukuru kwa fikira zako , lakini hali halisi ambayo sisi tunaoishi huku tunakwambia iko kama nilivyo kuambia, hapa ni kufikiria na ukweli halisi.

Njooni mtuongeze nguvu za ushindani, wabunge wame potea, Mkulu wetu Kaskazini umeumwaga. Njoooooni mtuongezee nguvu huku. Tusikimbie ukweli ila tuukabili ili tutafute dawa.
 
Wakazi wa kaskazini wanajitambua vizuri, wala hawahitaji kuongezewa nguvu. Kinachofanyika hivi sasa huko kaskazini ni kufanyiwa siasa za shuruti za kuikubali ccm. Ndio maana nguvu kubwa ilitumika kuwarubuni wabunge na madiwani wa huko, na hata chaguzi za marudio zilizofanyika kulikuwa na ushenzi, ukatili na uhayawani wa wazi, ili wagombea waliohamia ccm watangazwe washindi.

Na sehemu kubwa kumekuwa na siasa za vitisho, na ukandamizaji wa wazi ili kuwaziba midomo watu wa huko, ila waongee kuisifia ccm ili wabaki salama na shughuli zao. Lakini watu wa huko kaskazini wanaijua vizuri hali hiyo kuwa hizo ni siasa za rais aliye madarakani, kuwa ana chuki binafsi dhidi yao. Hivyo usitegemee watu wengi wa kaskazini kujitokeza kupiga kura, na watakaojitokeza ni wapiga kura wa ccm, na wachache sana wa NCCR na TLP hasa huko vunjo kwa ajili ya uwepo wa Mrema na Mbatia. Lakini wapiga kura wengi wa upinzani, ambao ni wa cdm, wengi hawana muda wa kupoteza kwenye box la kura, kwani matokeo ni ya kumridhisha mwenyekiti wa ccm, na hata wale watakaowapigia kura wanaona wanaweza kurubuniwa kwenda ccm. Hivyo ccm kushinda huko kaskazini sio kwakuwa inakubalika au upinzani haupo, ila siasa za chuki za rais aliye madarakani dhidi ya watu wa huko, ndio matokeo ya kitakachotokea.
 
Watu wa Arusha ni tofauti sana kitabia na watu wengi, wakiamua uamuzi wao hata ufanyaje ngumu kuwageuza, mm ni CCM, ila Lema ni ngumu sana kumtoa Arusha. Tusubiri tuone

Daaah kaa mbali na ujiandae kisaikolojia
 
Mnapenda kujifurahisha, upinzani kaskazini kama sio kupungua basi umekwisha. CCM kushinda Kaskazini ni kitu sisi wakazi wa huku tunakitegemea na tumejitayarisha kwa hilo.

mkuu hio ndo hoja yangu nlikua namwambia uyo dogo apo juu
 
Back
Top Bottom