Pia Gambo ana makando kando mengi sana. Yakiwekwa wazi ubunge atausikia kwenye tv.' Logically ' tu Kitendo cha aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Gambo ' Kutumbuliwa ' na Rais JPM tayari ' ameshahalalisha ' Kutokushinda Kwake Ubunge.
Na uzuri safari hii kura zitahesabiwa kwa uwazi hakuna tena visingizio vya kuibiwa kura.Muda + Kura+ cheusi chekundu vitatoa majibu so kaa kwa kutulia mkuu
HahaaaaGambo atashinda asubuhi saa 4
Hawezi kushindaJapo ni demokrasia ila itaniuma saana Gambo akishinda.... the guy is arrogant and mshamba wa vyeo.
Ni afadhali Lema apite tena....wanaarusha tupambane kwa namna yoyote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gambo anakubalika anauzika kwa raia ila watu wa arusha akili zao wanazijua wenyewe, Wanakula kwako wanaenda kulala kwa jirani
Huu ndo ukweliWatu wa Arusha ni tofauti sana kitabia na watu wengi, wakiamua uamuzi wao hata ufanyaje ngumu kuwageuza, mm ni CCM, ila Lema ni ngumu sana kumtoa Arusha. Tusubiri tuone
Mimi naona bora Gambo, Lema ameivuruga sana Arusha. halafu ni mtu mropokaji sana hana staha hata kidogo hafai hata kuwa mjumbe wa Shina.Japo ni demokrasia ila itaniuma saana Gambo akishinda, the guy is arrogant and mshamba wa vyeo.
Ni afadhali Lema apite tena, wana Arusha tupambane kwa namna yoyote.
Gambo!! Visa...sifa za kijanga...arrogant....Mimi naona bora Gambo, Lema ameivuruga sana Arusha. halafu ni mtu mropokaji sana hana staha hata kidogo hafai hata kuwa mjumbe wa Shina.
Mimi naona bora Gambo, Lema ameivuruga sana Arusha. halafu ni mtu mropokaji sana hana staha hata kidogo hafai hata kuwa mjumbe wa Shina.
Mkuu nipe mwanga ktk hili, unaposema bado maamuzi ya juu unamaanisha kuna uwezekano wa mamlaka za juu za chama wakapuuza maoni ya mamlaka za chini kichama na kuamua kupuuza chaguo lao na kuja na mgombea mwingine ambaye hakuchaguliwa na mamlaka za chini? Nimeona mdau mwingine nae kachangia hiki ulichokisema.Gambo hajapita bado maamuzi ya juu hayajampitisha subiri muvi ndio kwanza jambazi yupo anaogelea
Kwahiyo kura za wajumbe ni ujinga na utahira?Gambo hajapita bado maamuzi ya juu hayajampitisha subiri muvi ndio kwanza jambazi yupo anaogelea
Kwa maneno yako tu umeshaonesha unampamba nani hapa. When you ask a question don't be biasedGodbless Lema ni Mbunge aliyemaliza muda wake na Mrisho Gambo ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha aliyetumbuliwa.
Lema anekuwa Mbunge kwa zaidi ya miaka kumi sasa lakini mara nyingi amekuwa akizitumikia kesi Mahakamani na kukosa muda wa kutosha wa kuwahudumia wapiga kura wake.
Wakati Gambo amekuwa Mkuu wa Mkoa kwa kipindi kifupi sana amabacho amekitumia kuhamasisha maendeleo kwa baadhi ya maeneo na hasa eneo la Muriet analoishi.
Arusha inarejea kijani ...Siasa ni Sayansi