Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Tuwaachie wananchi. Tunaomba mchakato uliotumika kuwapata utumike pia hapo October 25.
Wakuu, sisi wakazi wa Kaskazini ambao tunaishi huku, tunaweza kukuambia majimbo ambayo Chadema inaweza kupoteza. Na kitu kingine kipya ni hali ya uchangamfu na ushabiki umepungua sana 2020. Kipindi kama hichi cha uchaguzi 2015 ukitembelea huku ilikuwa unajua Nchi inakwenda Upinzani.
Ushabiki wa kwetu Kaskazini ni wa wazi hauna kificho, iwe sokoni, Baa, kilabu cha pombe za kienyeji, mashambani, kanisani na popote penye mkusanyiko wa watu.
Na usidanganywe na mtuu yeyote, kuna hali fulani ya kusema ngoja tupigie CCM tuone labda kuna matunda. Hii ndio hali haklisi ila kuna majimbo au jimbo linalo weza kubaki Chadema.
Nguvu ya upinzani imepungua sana huku Kaskazini yote, kuna hali ya kuona tukiendelea tutatengwa.
KINYUME NA HUU USHAHIDI NI KINYUME NA HALI HALISI LABDA KUJIPA MOYO.
Unamaanisha zile kura za kuhesabiwa kwenye TV mubashara? Wakisikia hilo, korodani zinawasinyaa kama wameoga maji ya barafu!
kama kujenga lami na hospitali ni matumizi ya madaraka vibaya ni heri sana kuyatumia vibaya!Madaraka ya urais yanayotumika vibaya yana sayansi gani?
Ccm Arusha inegawanyika sana, kuna ukabila unaendeshwa na baadhi yao pia litamwangusha Gambo...ameumiza wengi wana kinyongo nayeGambo atashinda asubuhi saa 4
kama kujenga lami na hospitali ni matumizi ya madaraka vibaya ni heri sana kuyatumia vibaya!
Unauliza? Huna hakika kama atapita? Au hujui tayari.Gambo kapita?
Mkuu nashukuru kwa fikira zako , lakini hali halisi ambayo sisi tunaoishi huku tunakwambia iko kama nilivyo kuambia, hapa ni kufikiria na ukweli halisi.Hiyo kaskazini sio wapiga kura wa ccm na wala hawaikubali ccm. Kwanza hawaogopi kutengwa kama unavyosema maana wana maendeleo ya kuridhisha. Kilichoko huko kaskazini wengi wamepuuza box la kura, baada ya wale waliowapigia kura kuhamia ccm, na bado wakati wa chaguzi za marudio watu wameshuhudia chaguzi za kishenzi, kihayawani, na ukatili wa wazi ili ccm watangazwe washindi. Hivyo watu wa huko kaskazini wamelipuuza box la kura, maana tume hii ya uchaguzi sio huru, na inatangaza washindi kwa shinikizo la mwenyekiti wa ccm.
Mkuu nashukuru kwa fikira zako , lakini hali halisi ambayo sisi tunaoishi huku tunakwambia iko kama nilivyo kuambia, hapa ni kufikiria na ukweli halisi.
Njooni mtuongeze nguvu za ushindani, wabunge wame potea, Mkulu wetu Kaskazini umeumwaga. Njoooooni mtuongezee nguvu huku. Tusikimbie ukweli ila tuukabili ili tutafute dawa.
Watu wa Arusha ni tofauti sana kitabia na watu wengi, wakiamua uamuzi wao hata ufanyaje ngumu kuwageuza, mm ni CCM, ila Lema ni ngumu sana kumtoa Arusha. Tusubiri tuone
Mnapenda kujifurahisha, upinzani kaskazini kama sio kupungua basi umekwisha. CCM kushinda Kaskazini ni kitu sisi wakazi wa huku tunakitegemea na tumejitayarisha kwa hilo.Daaah kaa mbali na ujiandae kisaikolojia
Mnapenda kujifurahisha, upinzani kaskazini kama sio kupungua basi umekwisha. CCM kushinda Kaskazini ni kitu sisi wakazi wa huku tunakitegemea na tumejitayarisha kwa hilo.