Nani atakayeniambia kinyume cha maneno haya

Nani atakayeniambia kinyume cha maneno haya

Rudi=Nenda

Toka=Ingia

neno kuja ni la kina mwita aroo kuja hapa
..mwafaka ni njoo mkuu.acha longolongo..hahahaha.

Kwa hiyo mama mja mzito ni la akina mwita na la uswahilini ni mama mnjoo mzito na kinyume Baba mnenda mwepesi. Hahahahaaaa auuuuuuuh
 
Back
Top Bottom