Nani atakayeniambia kinyume cha maneno haya

sidhani ka kapata,sio baba mrudi mwepesi..manake kinyume cha mja ni mrudi ha ha ha ha.
 
Rudi=Nenda

Toka=Ingia

neno kuja ni la kina mwita aroo kuja hapa
..mwafaka ni njoo mkuu.acha longolongo..hahahaha.

Kwa hiyo mama mja mzito ni la akina mwita na la uswahilini ni mama mnjoo mzito na kinyume Baba mnenda mwepesi. Hahahahaaaa auuuuuuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…