Wazee "Mja" hapa imesimama badala ya nomino sio kitenzi,maana naona mnazidi kuikoroga lugha adhimu ya kiswahili...endeleeeni kutafuta kinyume cha tungo yenu!Kwa hiyo mama mja mzito ni la akina mwita na la uswahilini ni mama mnjoo mzito na kinyume Baba mnenda mwepesi. Hahahahaaaa auuuuuuuh
baba mwenda mwepesi
Hahaha. Mkuu hebu niambie kinyume cha 'Huyu jamaa ananitoka nyuma' hahahaaa a a
kinyume chake ni huyu demu hanitoki mbele.ha ha ha ha ha.nlikushakuona toka uko maili hamsini mkuu.
Hahaha jamaa haina jinsia hahahaha kiswahili jamani
Mgumba
Baba mwenda wepesi.
Unatisha mkuu,umechukua karatasi ukaichovya kwenye mafuta,ukaikausha ukaweka kwenye majibu ya mdau hapo juu then ukacopy na kupest.