Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Unapoongelea uendeshaji wake umelenga eneo lipi? Hapa naongelea gharama za mradi vs kitakachopatikana. Tungeweza kubuni mradi wenye tija na gharama ndogo ila siyo ilo tunguli tuliloletewaMni mpumbavu asiyeona faida ya mradi huu.
Labda ungeuliza uendeshaji wake, lakini ni mradi mzuri sana na wenye faida kubwa ya muda mrefu ikiwa tu tutaweza kuuendesha wenyewe bila kutegemea mataifa ya nje.
Umewahi kwenda nchi zilizoendelea? Umeshawahi kuona nchi isiyo na usafiri wa treni? Usafiri wa treni una kawaida hii: kujenga ni gharama lakini manufaa yake ni makubwa!Ungekuwa umwnielewa basi ungechangia vizuri. Hujui gharama vs faida ya mradi ndiyo maana wewe kwako ni sawa tu ili mradi reli ya treni ya kasi iwepo.
Tatizo ni kuwa ulichofanya hapa sio kuhoji bali umeonyesha ujinga wako katika eneo la uwekezaji wa kitaifa!Huwezi kunifundisha kitu kuhusu haya mambo. Pia huwezi kuelewa nilicholalamikia na naelewa nyie wapiga makofi wa awamu hii kila kitu anachotoa Magufuli nyie kazi yenu ni kupokea bila kuhoji.
Uwekezaji wa kitaifa? Huu uwekezaji usio na tija unauita uwekezaji wa kitaifa?Tatizo ni kuwa ulichofanya hapa sio kuhoji bali umeonyesha ujinga wako katika eneo la uwekezaji wa kitaifa!
Mimi sikufundishi bali ninakueleza ili ujue ukubwa wa ujinga wako!
Mkuu nilichoshuhudia pale bandarini ni kuwa mizigo inayoenda boda ya Tunduma ni mara mbili ya mizigo inayovuka kanda ya ziwa.Huu mradi wanachotakiwa kuhakikisha ni kwamba kasi ya kupakua mizigo bandarini inaongezeka mara dufu, loading bay zinaongezwa haraka na waanze kuandaa wafanyakazi wapya bandarini.
Train za mizigo zikianza kufanya kazi hizo volumes zikazokuwa kuwa zinaingia port ya Tanzania ni balaa, yaani wajiandae na kutafuta hela phase zingine za SGR.
Ukishafika Msamvu unateremka na kuanza kupiga domo kituoni kwa saa nne kabla ya kwenda kwako kuendelea kupiga domo.
Ndio maana nikasema unaonyesha ujinga na umeendelea kuonyesha ukweli wa nilichokisema!Uwekezaji wa kitaifa? Huu uwekezaji usio na tija unauita uwekezaji wa kitaifa?
Kweli mkuu ikifika dom ielekee arusha mpaka nairobi mambo yatakuwa mazuri watalii wataongezeka sana.SGR strategically ingetakiwa ipite Tanga, Moshi , Arusha mpaka Nairobi....
Yani mkuu una uelewa duni sana kuhusu mambo ya miradi. Emb nipe tija moja tu ya mradi wa SGR tunaotumia gharama zote zile? Uoishaniambia nitakupa ufafanuzi kama ulichotaja ni tija au kihoja.Ndio maana nikasema unaonyesha ujinga na umeendelea kuonyesha ukweli wa nilichokisema!
Kama hujui hata maana ya ''uwekezaji wa kitaifa'' utajuaje kuhusu tija za uwekezaji!
Ndio maana nikasema wajiandae na phase nyingine sielewi TAZARA inakwama wapi kwa sasa.Mkuu nilichoshuhudia pale bandarini ni kuwa mizigo inayoenda boda ya Tunduma ni mara mbili ya mizigo inayovuka kanda ya ziwa.