Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Dogo naona umeishiwa na hoja, hapa unachafua tu harufu ya jukwaa.
Hoja hupingwa kwa hoja sio kwa viroja.Kumbe jf bado kuna wana wapumbafu?
Mleta mada wewe ni kichwa panzi
Shwain
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi pekee na Burundi wanapelekewa reli ya gharama kiasi hicho. Sisi kama nchi hatuna akili kwakweli.Kwa sababu hatuna details za kutosha sidhani kama Rwanda watakuwa wanapewa free lunch lazima kuna gharama wanachangia za upande.
Isitoshe ndio nchi pekee ambayo imekuwa ikionyesha interested ya njia ya mizogo ya reli.
Either way kama nilivyosema in the long run kuweka access ya reli ukanda huo na nchi zilizokuweko mpakani una faida kubwa sana za kimkakati wa muda mrefu.
very poor !Iwafidie kwani inapita Marangu?
Tatizo lenu uvccm hamna hoja za kujibu bali kila jambo mnaingiza siasa. leta hoja za kutetea huu mradi then uanzishe hoja yako juu ya ofisi za chadema nje ya mada hiiBila shaka huoni tija pia ya kujenga Ofisi Kuu za Chadema ndio maana mmeishia kupanga mabanda pale Ufipa! Ahahahahahaha!
Mkuu mbona kama nyie pia mnapinga kila kitu anachokifanya Magufuli. Sio kwamba anaesifia kila kitu na anaeponda kila kitu wote ni sawa tu?Huwezi kunifundisha kitu kuhusu haya mambo. Pia huwezi kuelewa nilicholalamikia na naelewa nyie wapiga makofi wa awamu hii kila kitu anachotoa Magufuli nyie kazi yenu ni kupokea bila kuhoji.
Reli ndio uchumi wa nchi. Wajifunze kwa nchi kama Us na SAUmewahi kwenda nchi zilizoendelea? Umeshawahi kuona nchi isiyo na usafiri wa treni? Usafiri wa treni una kawaida hii: kujenga ni gharama lakini manufaa yake ni makubwa!
Mkuu, nakuhakikishia kama kuna kimeo ambacho Magufuli amekivaa basi ni aina ya huu mradi wa SGR. Yani hauna tija kabisa na hela ya mradi hitokaa irudiAfadhali SGR Kiongozi. Ule wa umeme ndiyo kimeo squared.
Maji hayo hutoka Mtera na Kidatu. Huko mitambo inafungwa kwa ukame, Stieglers Gorge nayo itakauka tu kipindi fulani.
Tumeacha umeme wa gesi. Bado kuna ardhini (thermal).
Tatizo ni kupata percent miradi mipya
Wanateseka kweli kweli na fikra zao zisizoona mbali kama taa ya baiskeli.Iwafidie kwani inapita Marangu?
Tatizo la maoni mengi ni kudhani kwamba maisha ya duniani yanaisha baada ya mtu kufariki.Mni mpumbavu asiyeona faida ya mradi huu.
Labda ungeuliza uendeshaji wake, lakini ni mradi mzuri sana na wenye faida kubwa ya muda mrefu ikiwa tu tutaweza kuuendesha wenyewe bila kutegemea mataifa ya nje.
Hapo ndipo napata mashaka na wafaulu wetu. Ni kweli wanafaulu?Kama tu Mradi wa mabasi ya mwendo kasi umetushinda, unategemea muujiza wowote kwanye huo mradi?
Kama anaamini hauna tija, atakuwa ni mpumbavu tu.
Nmekusoma michango yako kwenye huu uzi wako..Mkuu hali ya usalama mashariki mwa Congo nadhani unaielewa na tunaposema mashariki najua umeelewa mpaka utakuwa wapi. Tayari Congo wanaingia hasara kubwa ya kupitisha mizigo inayopotia mpaka wa Tanzania. Now wamejikita eneo la Niger kule ambako usalama ni nzuri. Yani huu mradi eti unategemea vinchi vya Rwanda na Burundi na Rais anataka kugharamia sehemu ya SGR ndani ya Rwanda kutoka Isaka hadi Kigali si ni uzwazwa huo.
Wasomi wa Tanzania wamesoma kufaulu mitihani na kupata vyeti kwa njia ya kukariri ila kiukweli kichwani hamna kitu. Kwa hiyo ukiona vitu haviendi sawa katika uendeshaji ujue ni uwezo mdogo wa waendeshaji.Kama anaamini hauna tija, atakuwa ni mpumbavu tu.
Mashaka yangu ni katika kuuendesha tu huu mradi si kwengine.
Nasubiri kuona mbinu ipi itatumika kuuendesha huu mradi ambayo itakuwa na tija kuliko ya reli zetu zingine mbili tulizonazo hivi sasa.
Kusema kweli tuna mtihani mkubwa sana mbele yetu na nikifikiria wafaulu wetu walipotufikisha hivi sasa, napata kigugumizi cha vipi niusifu.
Mama, huu mradi hauna tija. Mwaga facts nijibu facts kuhusu huu mradi na mbaya zaidi naelewa nchi nyingi zenye SGR physically!Kama anaamini hauna tija, atakuwa ni mpumbavu tu.
Mashaka yangu ni katika kuuendesha tu huu mradi si kwengine.
Nasubiri kuona mbinu ipi itatumika kuuendesha huu mradi ambayo itakuwa na tija kuliko ya reli zetu zingine mbili tulizonazo hivi sasa.
Kusema kweli tuna mtihani mkubwa sana mbele yetu na nikifikiria wafaulu wetu walipotufikisha hivi sasa, napata kigugumizi cha vipi niusifu.
Mkuu naomba nikuweke sawa. Ukiona kwenye uendeshaji wa mradi mtu unakwama ujue basi kwenye investment cost hukuwa sahihi.Wasomi wa Tanzania wamesoma kufaulu mitihani na kupata vyeti kwa njia ya kukariri ila kiukweli kichwani hamna kitu. Kwa hiyo ukiona vitu haviendi sawa katika uendeshaji ujue ni uwezo mdogo wa waendeshaji.
Kuna tatizo katika elimu ya Tanzania inabidi litatuliwe.
Mkuu naomba nikuweke sawa. Ukiona kwenye uendeshaji wa mradi mtu unakwama ujue basi kwenye investment cost hukuwa sahihi.