Nani atakuja kutufidia sisi kama nchi kutokana na mradi usio na tija wa SGR?

Nani atakuja kutufidia sisi kama nchi kutokana na mradi usio na tija wa SGR?

Umetumia haki yako ya kikatiba na kifikra katika kutueleza jinsi gani bado unahitaji elimu zaidi kwenye masuala ya uwekezaji wa kitaifa!

Nikisema umeonyesha upumbavu nitakuwa ninakosea kwa sababu sikufahamu hasa ikichukuliwa kuwa upumbavu ni kipaji kama urefu na ufupi!
Kila mtu ana upumbavu wake. Ila katika list ya wapumbavu wewe umeshika namba 1. Nimetumia haki yangu ya kikatiba.
 
Umetumia haki yako ya kikatiba na kifikra katika kutueleza jinsi gani bado unahitaji elimu zaidi kwenye masuala ya uwekezaji wa kitaifa!

Nikisema umeonyesha upumbavu nitakuwa ninakosea kwa sababu sikufahamu hasa ikichukuliwa kuwa upumbavu ni kipaji kama urefu na ufupi!
Si haki yako kutukana mtu bali ni haki yako kutoa maoni. Ungekua mtu mwenye busara na hekima ungemuelewesha mleta mada kuhusu umuhimu wa SGR ,faida pia pesa zinazotumika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mpumbavu tu asiyeona faida ya mradi huu.

Labda ungeuliza uendeshaji wake, lakini ni mradi mzuri sana na wenye faida kubwa ya muda mrefu ikiwa tu tutaweza kuuendesha wenyewe bila kutegemea mataifa ya nje.
Faida kwa mujibu wa nani!? Maana aliyeamua huu mradi ujengwe ni mmoja tu. Je, hizo faida ni kwa mujibu wa nani?
 
Ungekuwa umwnielewa basi ungechangia vizuri. Hujui gharama vs faida ya mradi ndiyo maana wewe kwako ni sawa tu ili mradi reli ya treni ya kasi iwepo.
Faida unayoiongelea ni personal au national? Kama ni personal, hakika faida yake huwezi kuiona mtu kama wewe, lakini national ni obvious.

Rudi darasani ukasome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hiy)u tunayoyapa magenge ya wahuni tu kwa jina la vyama vya siasa nani huwa anafidia?

20+yrs financing hooligans na hakuna anayehoji!!
Na bado hawa hooligans wanavunja benki kuu(BoT) na kuiba billions of money kugharamia uchaguzi mkuu huku wakijiita wazalendo. . Wapuuzi wakubwa hawa.
 
Hilo dodoso la serikali sisomi mimi nimekwambia nitejie benefits za huu mradi na mimi nitafafanua moja baada ya nyingine.
Wao wanakutajia ambazo wameambiwa na anayelazimisha huu mradi. Sasa sijui walitegemea aliyelazimisha huu mradi angesema hauna faida!
 
Bila shaka huoni tija pia ya kujenga Ofisi Kuu za Chadema ndio maana mmeishia kupanga mabanda pale Ufipa! Ahahahahahaha!
Hao ccm wenye miradi chungu tele mpaka viwanja vya mpira ambavyo wamejimilikisha lakini bado wanavunja benki kuu kipindi cha uchaguzi mkuu kuiba fedha za kugharamia uchaguzi usisahau wao ndio wanachukua mabilioni ya ruzuku kila mwezi.
 
Ungekuwa na faida kwa watu wanaojua mult-system infrastructure. Changamoto kubwa ni utayari wa akili na matakwa yetu. Kwa mfano tungeanza kufundisha atu wetu kwanza jinsi ya ku operate mradi kama huu. Hakuna mfanyabiashara anaweza kupitisha mzigo wake sehemu ambayo safety ni ndogo. Kama una milika noah na ukashindwa kuitunza vizuri na kukuletea ufanisi, ukinunua basi ni kupoteza muda bure.
Mradi wa SGR una faida kubwa sana labda mradi ambao haukeweki ni ule wa midege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekuwa na faida kwa watu wanaojua mult-system infrastructure. Changamoto kubwa ni utayari wa akili na matakwa yetu. Kwa mfano tungeanza kufundisha atu wetu kwanza jinsi ya ku operate mradi kama huu. Hakuna mfanyabiashara anaweza kupitisha mzigo wake sehemu ambayo safety ni ndogo. Kama una milika noah na ukashindwa kuitunza vizuri na kukuletea ufanisi, ukinunua basi ni kupoteza muda bure.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha deni la taifa liendelee kukua
 
Kama Reli ya kati haitengenezi faida, TAZARA haitengenezi faida, hakuna muujiza wa kuifanya SGR kutengeneza faida. Kama kungekuwa na msongamano wa mizigo ambayo reli ya sasa ya kati inashindwa kuhudumia, hakika kupata treni ya kasi ingesaidia kuisafirisha mizigo yote. Mpaka sasa, reli ya kati inafanya kuokoteza mizigo. Hata siku moja haijawahi kutosheleza uwezo wa treni kubeba, sasa hiyo ya kasi zaidi itabeba mizigo gani? Na hakuna reli duniani inayopata faida kwa kusafirisha watu.

Reli ilikuwa ni muhimu lakini ilitakiwa ujenzi wake utegemee zaidi sababu za kiuchumi kuliko matakwa ya moyo.
Kwa ishu ya mizigo nafikiri serekali itatengeneza sheria ya kulazimisha baadhi ya mizigo ibebwe na treni la sivyo kama ulivyosema hakuna mizigo ya kutosheleza SGR. Ni kama walivyoua Fast Jet au walivyoondoa daladala Kimara

Kwa Tanzania hakuna namna SGR Itaweza kushindana na malori kwa ufanisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Ni lazima ujuwe kwanza TAZARA inapita wapi na SGR inapita wapi ndio utafahamu ninachozungumzia mkuu...
Njia ya Tunduma ndio yenye malori mengi, swali, kwanini Reli ya Tazara ipo na bado haibebi hiyo mizigo mingi unayosema?

Tumekosea wapi kwa Tazara ambapo tutaweza kurekebisha kwa SGR tunayojenga?

Unafikiri mizigo ipo tu inasubiri SGR ikamilike?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeshindwa kuiendesha reli ya kati na Tazara kwa tija tutaiweza hiyo ya umeme? huwa namuonea huruma jiwe siku zote kwani analenga kupatia sifa ndio maana anatumia mabavu

Ongezea na hili dogo tu, mwendokasi Dar!
Kesho ntakukumbusha AIR " any time cancellation"
.
.
.
Ila unatumia neno " tumeshindwa ..." badala ya " wameshindwa" .... hao tuliowapa dhamana ! Tunaweza sana katika settings tofauti. Usijizarau mwanewane
 
Mkuu pole. Achana na huyo hata hajui anachokata kuongea. Kuna Watanzania akili zao ushindwa kujua wamezitoa wapi. Tunduma inahudumia zaidi ya nchi tatu. Mzigo mingi inaenda njia ya Tunduma.
Njia ya Tunduma ndio yenye malori mengi, swali, kwanini Reli ya Tazara ipo na bado haibebi hiyo mizigo mingi unayosema?

Tumekosea wapi kwa Tazara ambapo tutaweza kurekebisha kwa SGR tunayojenga?

Unafikiri mizigo ipo tu inasubiri SGR ikamilike?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia ya Tunduma ndio yenye malori mengi, swali, kwanini Reli ya Tazara ipo na bado haibebi hiyo mizigo mingi unayosema?

Tumekosea wapi kwa Tazara ambapo tutaweza kurekebisha kwa SGR tunayojenga?

Unafikiri mizigo ipo tu inasubiri SGR ikamilike?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu wanavyochangia unaweza kudhani tuna makontena pale bandarini yamekwama kwa sababu ya usafiri wa uhakika kumbe masikini vimzigo vyenyewe tunaokoteza tuu. Yani hii nchi inapelekwa pelekwa tu kila Rais akija ni kujifanyia ayatakayo akiondoka anayekuja naye atajijua mwenyewe yani hatujawahi kubeba ajenda endelevu. Mu SGR unagharamikiwa migharama mikubwa wakati hiyo reli haitakuwa na kazi yoyote yenye tija na hasa uelekeo ulikopelekwa hakuna kabisa msongamano wa mizigo inayotoka.

Sasa kweli unagharamika kupeleka reli Rwanda? Reli ya TAZARA ambayo ina uhakika wa kutumika nchi zaidi ya tatu tena zenye tija haifanyi chochote ije kuwa hiyo inayoenda huko Rwanda?
 
Back
Top Bottom