Ni mizigo gani hiyo ya kupeleka mfano Dodoma inayohitaji SGR? Na kutoka Dodoma SGR itarudi na nini Dar es salaam? Mkuu Kenya wanastruggle na SGR yao sababu ya uhaba wa mizigo.Tusikimbilie kufika Rwanda - tuanzie kutoa mzigo Bandari ya Dar na kuupeleka Ruvu mkoa wa pwani, Morogoro, Dodoma, Itigi, Tabora mpaka Isaka. Na kurudi kwa mizigo yetu tu. Ni uhitaji mkubwa wa SGR kabla ya kwenda Rwanda. Sasa ongeza mzigo wa Rwanda, DRC, Uganda, Burundi na Southern Sudan na pia Kenya.
Hivyo msiushambulie huu mradi ila mseme pia kusini nako SGR ijengwe hii ikimalizika mpaka tuweze kuisambaza sehemu zote za nchi yetu.
Usisahau wafanyabiashara wakubwa wana malori yao ya kusafirisha mizigo/bidhaa zao.
Sent using Jamii Forums mobile app