dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,534
Mnatukana wenzenu msije kuzikimbia comments zenu maana muda ni muamuzi wa haki
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumia haki yako ya kikatiba na kifikra katika kutueleza jinsi gani bado unahitaji elimu zaidi kwenye masuala ya uwekezaji wa kitaifa!
Nikisema umeonyesha upumbavu nitakuwa ninakosea kwa sababu sikufahamu hasa ikichukuliwa kuwa upumbavu ni kipaji kama urefu na ufupi!
Sent using Jamii Forums mobile app