Nani atakuja kutufidia sisi kama nchi kutokana na mradi usio na tija wa SGR?

Nani atakuja kutufidia sisi kama nchi kutokana na mradi usio na tija wa SGR?

Ukanda ukikuisha ndo utajua umuhimu
Kwakweli huu mradi kila nikiuangalia na complications zake huwa nakuna kichwa sana na kujiuliza kina nani walipendekeza mradi wa aina hii?

Pamoja na usanifu wake kujikita kwenye gharama za juu bado sijawahi kuona faida ya mradi huu na sijui kama utakuja kukamilika. Mbaya zaidi umeshatushinda kuuendeleza kwa wakati.

Kiukweli nchi yetu ni masikini sana na hakukuwa na tija yoyote kubuni mradi ambao utakula zaidi ya trilioni 7 Tshs fedha za awali huku ukiwa hauna maana kwa nchi.

Hivi ni mizigo kiasi gani itakayo kuwa inapita kwenye hiyo reli hadi tuigharamie hivyo?

Bomba la mafuta limefeli na sasa Uganda ameamua kuegemea Kenya zaidi, serikali yetu bado haijatueleza ni kwanini? Huu mradi utakuwa unatumiwa na watu wa kanda ya ziwa kusafirisha matikiti maji?

Yani Rais Magufuli kwakuwa ana nguvu ya kutumia fedha za nchi basi amekuwa akizitumia kwa utaratibu mbovu kweli.

Sioni pia tija kwenye daraja la coco beach baada ya serikali kuhamia Dodoma, sioni tija yoyote kwenye daraja la huko sijui busisi kanda ya ziwa dah yani watanzania wengi wanataabika ili kugharamia miradi isiyo na tija yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu niliona kuweka data nitajichosha tu ila kukusaidia ni kuwa nimejikita zaidi kwenye gharama za mradi ikiwa ni usanifu wenye gharama pamoja na uelekeo. Nashukuru siku moja baada ya kuweka hili bandiko kamati ya bunge inakuja na taarifa kuwa TAZARA imeshafilisika mpaka mwisho. Huu mradi katu hautokaa urejeshe gharama na badala yake unaishia kuwa mradi wa kupigia picha.

Kwakuwa wewe uko mbali kuelewa basi usihofu, wewe omba uzima utakuja kujionea kwa wakati wako.
Sam, nikuulize, hivi hizi barabara zinazojengwa kila sehemu zitarudisha gharama zake lini?

Hii miradi ya usafirishaji kweli lengo lake kuu ni 'kurudisha gharama' ama kuhudumia maendeleo kwa ujumla?

Hivi ni lini haya mashule yote yaliyojengwa tokea tupate uhuru yataonekana yamerudisha gharama za ujenzi wake, unajua? Na hiyo miradi ya maji je? Mahospitali?

Ndio, tegemeo ni kwamba SGR ikijengwa na kuendeshwa vizuri inatakiwa iweze kujiendesha yenyewe na hata kuingiza faida. Hili ni tegemeo kabisa. Lakini hao wanaoendesha hii miradi kama sio makini na kuufanya mradi uingize hasara kama TAZARA inavyofanya, sababu sio kwamba mradi wenyewe hauna faida, au hauna uwezo wa kufanya hivyo. Tuwalaumu waendeshaji.

Kenya Airways hawafanyi vizuri, pamoja na kwamba wanajiendesha kama kampuni binafsi, lakini Ethiopian Airways wanafanya vizuri, na wanaingiza faida kila mwaka.
 
Mkuu nielewe, mradi una gharama zosizo na tija na pia haujazingatia umuhimu wa maeneo. Kiukweli huu mradi ni wa hovyo haujazingatia hali halisi tuliyo nayo. Na nikueleze tu hata kwa miaka 20 ijayo huu mradi bado utaonekana wa hovyo!
 
LOoo, hilo ni hitimisho hasa! Huenda unazo takwimu na vigezo vya aina yake.

Binafsi siwezi kamwe kuhitimisha kama ulivyofanya wewe hapa, maana sina ushahidi wowote wa kuunga mkono hitimisho la jumla kama hili uliloweka hapa.

Basi tuyaache, na Mungu akipenda tusubiri hiyo miaka 20 ijayo. Mradi tu pawepo na uongozi imara wa kuendesha mradi, ili hiyo isiwe sababu ya kuniambia hapo baadae... "si nilikwambia"?

Sijui ni sababu zipi zinazokufanya uamini kwamba sehemu hiyo hakuna na wala hapatakuwepo mizigo. Sijui mizigo ipo wapi nchi hii!
 
Mkuu nina data za hii serikali jinsi inavyofanya mambo ya hovyo na huenda kesho nikatoa bomu lingine na nitaweka kila kitu. Serikali yetu kiukweli kwa awamu hii ni hovyo!
 
Nadhani watu wengi sana hawaelewi SGR ni Nini

SGR ni standard tu ya reli yenye upana wa meter 1.435m Vs 1..03m ya reli ya kati inayotumiwa sasa teknolojia ambatanishi zimaweza kuwa kwenye reli yeyote kama vile Umeme, mifumo ya mawasiliano na kadhalika swala la uzito unaopita juu ya reli factor kubwa ni tuta lina uwezo wa kupitisha axle load ya kiwango gani, the main advantage ya SGR Vs MGR ni speed kwenye corners/curves

Kwa reli ya MGR iliyojengwa ma mkoloni inaweza kuimarishwa na kufikia speed mpaka 80kph ambapo kuna mradi wa kuimarisha Unadhaminiwa na world bank

Kwa design ya SGR yetu tumetumia American standard ambayo inabeba mpaka 35tones per axle with max speed ya 160km/h kwa umeme na 120km/h kwa Diesel engines

Facts ambazo wengi hatuzijui operating costs za passenger train powered by electricity is more expensive than a jet 787-8 Dreamliner kwa hiyo expectations za kuwa itakuwa cheap kuliko mabasi ni kudanganya unless serikali ifidie garama za uendeshaji. Kwa Kenya SGR yao ni diesel powered na monthly operating costs ni over 34bil kwa mwezi wakati revenue collected ni below 15bil na wao wamejenga Dryport Nairobi ambapo all the cargo zinazoimgia Mombasa port zinabebwa na SGR to nairobi
Reli yetu iliyopo sasa tokea imekuwa designed na kujengwa haijafikia hata 45% ya mzigo uliengwa
Uchumi wetu wa usafirishaji unadepend sana na imports na transit imports from overseas
Mpaka sasa ujenzi wa SGR hauna link ya kwenda Bandarini pia bandari ya dar es salaam kwa mpango wa Maboresho ya Dar es salaam Maritime gateway project itakapokamilika itauwa inauwezo wa kupitisha tones mil 22 kwa mwaka uwezo wa train moja ya SGR ideally ni kubeba container 160 kwa pamoja ambayo ni Sawa na tones 4800 ambayo itahitaji trains 4590 kutoa mzigo wote bandarini ambayo ni equivalent na trains 12 za mizigo kwa siku Sawa na train moja kila baada ya masaa Mawili kila siku kwa mwaka mzima
Kwa bandari yetu ilivokuwa designed hairuhusu teain ndefu kupokea mizigo directly from the ship na sehemu ya kupangia mabehewa kabla ya safari imekuwa designed kufanyikia sogakwa hiyo kufikia lemgo la train moja kila baada ya masaa mawili ni impossible
Pia speed ya Juu ya train ya abiria ni 160kph ambapo Morogoro ni 204 km away kwa layout ya reli pamoja na four stations na operation procedure average speed I nashuka btn 70 -80kph ambapo itachukua almost 3 hours to Morogoro and not 1.25hrs inayosemwa na politicians

Niishie hapa kwa sasa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu nielewe, mradi una gharama zosizo na tija na pia haujazingatia umuhimu wa maeneo. Kiukweli huu mradi ni wa hovyo haujazingatia hali halisi tuliyo nayo. Na nikueleze tu hata kwa miaka 20 ijayo huu mradi bado utaonekana wa hovyo!
wtf!!! unaongea kwa jazba halafu unaongea upuuzi, bora unyamaze tuu
 
wtf!!! unaongea kwa jazba halafu unaongea upuuzi, bora unyamaze tuu
Hivi wewe unataka ili mradi tu uone lile reli limakaa pale au? Basi utakuja kuliona tu na ufurahie kishindo cha awamu ya tano.
 
Kwakweli huu mradi kila nikiuangalia na complications zake huwa nakuna kichwa sana na kujiuliza kina nani walipendekeza mradi wa aina hii?

Pamoja na usanifu wake kujikita kwenye gharama za juu bado sijawahi kuona faida ya mradi huu na sijui kama utakuja kukamilika. Mbaya zaidi umeshatushinda kuuendeleza kwa wakati.

Kiukweli nchi yetu ni masikini sana na hakukuwa na tija yoyote kubuni mradi ambao utakula zaidi ya trilioni 7 Tshs fedha za awali huku ukiwa hauna maana kwa nchi.

Hivi ni mizigo kiasi gani itakayo kuwa inapita kwenye hiyo reli hadi tuigharamie hivyo?

Bomba la mafuta limefeli na sasa Uganda ameamua kuegemea Kenya zaidi, serikali yetu bado haijatueleza ni kwanini? Huu mradi utakuwa unatumiwa na watu wa kanda ya ziwa kusafirisha matikiti maji?

Yani Rais Magufuli kwakuwa ana nguvu ya kutumia fedha za nchi basi amekuwa akizitumia kwa utaratibu mbovu kweli.

Sioni pia tija kwenye daraja la coco beach baada ya serikali kuhamia Dodoma, sioni tija yoyote kwenye daraja la huko sijui busisi kanda ya ziwa dah yani watanzania wengi wanataabika ili kugharamia miradi isiyo na tija yoyote ile.

"Yawezekana kwenye hiyo miradi inayotiliwa nguvu anapata 10%"
 
Hivi wewe unataka ili mradi tu uone lile reli limakaa pale au? Basi utakuja kuliona tu na ufurahie kishindo cha awamu ya tano.
Kukosa ajira, njaa, kukosa hela hayo yote ni matatizo yanayokuandama ndugu yangu, relax , kunywa maji, enjoy life
 
Mradi wa SGR ni mradi mzuri ukikamilika utaimarisha uchumi wetu resources zetu tungeziweka hapo badala kuzigawa katika miradi mingine inayochukuwa fedha nyingi .Tungetakiwa tuwe na priority tumalize SGR ndio tujikite miradi ya umeme na madalaja
 
Ungekuwa umwnielewa basi ungechangia vizuri. Hujui gharama vs faida ya mradi ndiyo maana wewe kwako ni sawa tu ili mradi reli ya treni ya kasi iwepo.
Faida usitarajie kwamba lazima irudi siku hiyo hiyo,hii ni project kubwa lazima faida itachukua muda kurejeshwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna eneo ambalo Watanzania tunakosea ni kujilaumu au kujiuliza kwanini SGR wakati mchakato wa ujenzi unaendelea. Tuna wajibu wa kuongeza akili zaidi na maarifa ya kuitumia SGR maana ujenzi unaendelea na kwa speed ya huyu mzee wa Chato lazima akamilishe mradi huu.

Pengine tujiulize; SGR yetu, mpango wetu ni kwa ajili ya ku-handle cargo imports pekee kutoka au pia tutakuwa tuna export?
Kama pia tunategemea exports maana yake si sawa kuendelea ku-export raw materials kama mazao ya chakula, mazao ya biashara au malighafi yoyote ambayo inaweze kuchakatwa ndani na kuongezwa thamani kwa viwango vinavyokubalika katika soko la nje. Ili pale export ikifanyika, kinachoingia sokoni kiuzike kwa bei shindani ili kuenesha viwanda vya ndani ikiwezekana kupanua biashara ya viwanda.

Ukurasa huo hapo juu ni upembuzi umefanywa na chanzo cha Afrika kwa kutumia taasisi ya Kenya ya Takwimu kikionesha SGR ya Kenya wanapiga msuli.

The deficit -- the gap between imports and exports -- widened by Sh277.25 billion (sawa na TZS takribani Tril 6) compared with 2016

Imports rose by 20.5% to Sh1.725 trillion (sawia na Tril 35), while exports expanded by a measly 2.8% to Sh594.13 billion (TZS Tril 21)
Kenya ikumbukwe wana viwanda vingi sana tu kuliko sisi. Ingia maduka yetu maziwa, siagi, ngozi za vitu, nyuzi za nguo na masweta kwa uchache tuna-import toka Kenya.

Ndiyo tupate picha SGR ikikamilika bidhaa zitaingia fasta na kwa bei nafuu kuliko kutegemea maroli ya akina fulani yanayoharibu lami kila siku.

Swali kwa Waziri wetu wa fedha na waziri wa viwanda, wao wamejiandaa vip kutokana na funzo la Kenya, trade surplus au Trade deficit. Kama ni trade surplus, ina maana kama kenya imeongeza import kwa 20% sisi pia tutaongeza imports kwa % ngapi? wakati dola zetu zapitia kwenye mabenki kuvuta makontena ya finished products toka China, Turkey, India na kwingineko, sisi Konteza toka Dar, Tanga na Mtwara hata ikiwezekana Kilwa zitakuwa na korosho, pamba, kahawa, ngozi, kokoa, katani ghafi au vitambaa, korosho packed, kahawa packed, mikanda, viatu, jezi za mpira, viatu vya mpira?

Kama Wachina wanaweza nasi tukiamua tunaweza.

Ukiweza kuichungulia Video hapo juu, utajifunza wakati miaka ya 70 China alikuwa chini exports zilikuwa kiduchu sana. Ila baada ya kupata akili za kuanza kuzalisha finished products na kuanza ku-export, it took no time China akahama toka nchi masikini na sasa anashindana na US kwenye biashara kwa ubabe kabisa.

Ijumaa Karim
 
Kwani hiyo ruzuku tunayoyapa magenge ya wahuni tu kwa jina la vyama vya siasa nani huwa anafidia?

20+yrs financing hooligans na hakuna anayehoji!!
Hapo uko sawa kabisaa,CCM ni around 1bn, CHADEMA around 500m, CUF ndo usiseme. Kwa mwezi hawa hooligans wanakomba hela nyingi sana. Ni vyema turejeree sheria ya vyama. Vinafilisi nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nielewe, mradi una gharama zosizo na tija na pia haujazingatia umuhimu wa maeneo. Kiukweli huu mradi ni wa hovyo haujazingatia hali halisi tuliyo nayo. Na nikueleze tu hata kwa miaka 20 ijayo huu mradi bado utaonekana wa hovyo!
Wangezingatia umuhimu wa maeneo wangejenga wapi?
 
Kwakweli huu mradi kila nikiuangalia na complications zake huwa nakuna kichwa sana na kujiuliza kina nani walipendekeza mradi wa aina hii?

Pamoja na usanifu wake kujikita kwenye gharama za juu bado sijawahi kuona faida ya mradi huu na sijui kama utakuja kukamilika. Mbaya zaidi umeshatushinda kuuendeleza kwa wakati.

Kiukweli nchi yetu ni masikini sana na hakukuwa na tija yoyote kubuni mradi ambao utakula zaidi ya trilioni 7 Tshs fedha za awali huku ukiwa hauna maana kwa nchi.

Hivi ni mizigo kiasi gani itakayo kuwa inapita kwenye hiyo reli hadi tuigharamie hivyo?

Bomba la mafuta limefeli na sasa Uganda ameamua kuegemea Kenya zaidi, serikali yetu bado haijatueleza ni kwanini? Huu mradi utakuwa unatumiwa na watu wa kanda ya ziwa kusafirisha matikiti maji?

Yani Rais Magufuli kwakuwa ana nguvu ya kutumia fedha za nchi basi amekuwa akizitumia kwa utaratibu mbovu kweli.

Sioni pia tija kwenye daraja la coco beach baada ya serikali kuhamia Dodoma, sioni tija yoyote kwenye daraja la huko sijui busisi kanda ya ziwa dah yani watanzania wengi wanataabika ili kugharamia miradi isiyo na tija yoyote ile.
jomba umeandika pumba z mchele nadhani kama sio mahindi..unatupotezea muda kwa kutuandikia habari za ndotoni jomba, za kutufanya watu na akili zetu kusoma kweli..?huna adabu...habari za miradi mikubwa kama hii tuletee data sio kutapika na kuharisha mawazo ya kutumwa na waume zenu jomba..hata ukisikia mmeo anazungumza kitu changanya na akili zako, fanya research ndio uje humu...shwainnnnninin
 
Kitabu cha ECONOMIC HITMAN kinaeleza kwa kina mkakati wa kutufanya maskini kwa kupewa mikopo yenye riba kubwa kwa ajili ya kujenga miundombinu kama hii inayopigiwa vigelegele na jiwe!!!!Impact ni kodi kubwa kwa wananchi na kuwa wakimbizi wa kutafuta ahueni ya maisha kama ETHIOPIA WANAVOHAMA HAMA NCHI YAO!!!KODI KUBWA KULIKO MTAJI!!!
 
Back
Top Bottom