Nani atakuja kutufidia sisi kama nchi kutokana na mradi usio na tija wa SGR?

Matatizo yanayomsumbua muanzisha uzi
1. Njaa
2. Kukosa hela (umaskini)
3. Kutojua biashara zenye faida ya muda mrefu
4. Upinzani wa kifara usio na tija wa kupinga kila kitu ilimradi ionekane umepinga

Nikushauri ukitaka fidia nenda kwa waingereza , wajerumani na waarabu kawaambie wakufidie kwa kukutawala
 
Hivi mradi ule wa Tazara una faida gani unaleta kama mizigo mingi bado inasafirishwa kwa malori.

Kwa hizi nchi za ukanda huu ukweli ni kwamba hazihitaji hii sijui SGR ni ulimbukeni tu unawasumbua, reli za wakoloni zikipata proper maintenance zinatosha kabisa kukidhi mahitaji yao kwani mizigo walizonazo ni kidogo sana.

Hii miradi ya SGR haina Economic Viability kwani sio muda mrefu tutaanza kuvutwa shati tukitakiwa kuanza kulipa deni huku mradi wenyewe ukiwa sio sustainable.

This project is the whitest of all the white elephant projects this government is pursuing and it is bound to cost the taxpayers both hand and leg.
 
Ukiona mtu anasema usafiri wa rahisi na wa kuaminika katika nchi una hasara basi mwonee huruma!
Kenya walijimwambafayi sasa wanalia..bila ya mizigo ya kutosha hasara..nenda Ulaya utakuta kila dk kumi linapita na shehena kubwa hapa mtabebea matikiti maji
 
Aliandika PseudoDar186

Nimepitia takwimu kutoka the National Bureau of Statistics (NBS) na Tanzania Ports Authority (TPA) kuhusu mizigo / shehena yanayopitia bandari za Tanzania kwenda au kutoka nchi za jirani.

Kwa mwaka 2017/18, jumla ya tani 5.6 million zilipitia Tanzania (bandari ya Dar es Salaam pekee) kwenda au kutoka nchi za jirani, ikilinganishwa na tani 4.8 million mwaka 2016/17. Hili ni ongezeko la asilimia 17.1 na ni habari njema kabisa kwa TPA na nchi yetu kwa ujumla.

Ukiangalia mchanganuo wa shehena zinazoenda au kutoka nchi za jirani, asilima 61.1% ni za Zambia (36.6%) na J.D. Kongo (24.4%). Hii ni zaidi ya tani 3.4 million ambazo kwa asilimia kubwa zinawafikia jirani zetu kupitia barabara zetu hapa Tanzania. Ukipitia takwimu za 2017/18, TAZARA imefanikiwa kusafirisha mizigo ya tani 187,558 tu (3.4% ya 5.6 million) kwa njia ya reli.

Shehena za Rwanda ni asilimia 16.5% pekee (au tani 922,134) kwa mwaka wa 2017/18. Ukilinganisha na 2016/17, kuna upungufu wa 9.0% - kitu ambacho kinaashiria kuwa mizigo ya Rwanda inawezekana kuwa inapitia Kenya na Uganda.

Kwa kutumia akili za kawaida (common sense), kuna haja ya kuwekeza reli ya SGR kuunganisha Tanzania na Zambia na J.D. Kongo kwa sababu business case (volume of cargo) ni kubwa mno (kwa mara 3.7) kuliko Rwanda. Pia, tukiweza kuondoa hata tani 2 million barabani, TANROADS watapumua kidogo na matengenezo ya kila mara yanayotokana na uharibifu wa baraba zetu. Hii ni kwa mujibu ya data za NBS na TPA wenyewe.

Naomba mwenye taarifa kuhusu ya haya maamuzi ya kupeleka SGR Rwanda atujulishe zaidi
 
Ungekuwa umwnielewa basi ungechangia vizuri. Hujui gharama vs faida ya mradi ndiyo maana wewe kwako ni sawa tu ili mradi reli ya treni ya kasi iwepo.
Weka hapa upembuzi wako wa gharama na faida za miradi hiyo, short term, medium term na long term ! Sio kubwabwaja tuu ! TOA TAKWINU !
 
Mleta mada aweke hapa takwimu zake kinzani ! Na source, sio tu kupiga domo na siasa za kijinga !
 
Ueleweki mara SGR, mara bomba la mafuta Uganda mara coco beach, mara kuamia Dodoma.

Kwaiyo unachoongea ukijui bora uombe msaada ili ufahamishwe vizuri.
 
Matatizo yanayomsumbua muanzisha uzi
1. Njaa
2. Kukosa hela (umaskini)
3. Kutojua biashara zenye faida ya muda mrefu
4. Upinzani wa kifara usio na tija wa kupinga kila kitu ilimradi ionekane umepinga

Nikushauri ukitaka fidia nenda kwa waingereza , wajerumani na waarabu kawaambie wakufidie kwa kukutawala
Huna tofauti na yule ambaye badala ya kujibu swali anamshambulia muuliza swali "Mayala kwetu ni njaa"
 
Nchi imasukwasukwa tu kama mkeka pori na kuendeshwa kama gari bovu lakini watu wakihoji wanaitwa MABEBERU. Nchi hii ina vituko sana. Sijui nani katuroga!![emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Kwakweli huu mradi kila nikiuangalia na complications zake huwa nakuna kichwa sana na kujiuliza kina nani walipendekeza mradi wa aina hii?

Pamoja na usanifu wake kujikita kwenye gharama za juu bado sijawahi kuona faida ya mradi huu na sijui kama utakuja kukamilika. Mbaya zaidi umeshatushinda kuuendeleza kwa wakati.

Kiukweli nchi yetu ni masikini sana na hakukuwa na tija yoyote kubuni mradi ambao utakula zaidi ya trilioni 7 Tshs fedha za awali huku ukiwa hauna maana kwa nchi.

Hivi ni mizigo kiasi gani itakayo kuwa inapita kwenye hiyo reli hadi tuigharamie hivyo?

Bomba la mafuta limefeli na sasa Uganda ameamua kuegemea Kenya zaidi, serikali yetu bado haijatueleza ni kwanini? Huu mradi utakuwa unatumiwa na watu wa kanda ya ziwa kusafirisha matikiti maji?

Yani Rais Magufuli kwakuwa ana nguvu ya kutumia fedha za nchi basi amekuwa akizitumia kwa utaratibu mbovu kweli.

Sioni pia tija kwenye daraja la coco beach baada ya serikali kuhamia Dodoma, sioni tija yoyote kwenye daraja la huko sijui busisi kanda ya ziwa dah yani watanzania wengi wanataabika ili kugharamia miradi isiyo na tija yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mijitu mingine ina akili za kenge. Ikiona manyunyu ya mvua inakimbilia mtoni. Akili bure!!![emoji22][emoji32][emoji22][emoji32]
Ungekuwa umwnielewa basi ungechangia vizuri. Hujui gharama vs faida ya mradi ndiyo maana wewe kwako ni sawa tu ili mradi reli ya treni ya kasi iwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliandika PseudoDar186

Nimepitia takwimu kutoka the National Bureau of Statistics (NBS) na Tanzania Ports Authority (TPA) kuhusu mizigo / shehena yanayopitia bandari za Tanzania kwenda au kutoka nchi za jirani.

Kwa mwaka 2017/18, jumla ya tani 5.6 million zilipitia Tanzania (bandari ya Dar es Salaam pekee) kwenda au kutoka nchi za jirani, ikilinganishwa na tani 4.8 million mwaka 2016/17. Hili ni ongezeko la asilimia 17.1 na ni habari njema kabisa kwa TPA na nchi yetu kwa ujumla.

Ukiangalia mchanganuo wa shehena zinazoenda au kutoka nchi za jirani, asilima 61.1% ni za Zambia (36.6%) na J.D. Kongo (24.4%). Hii ni zaidi ya tani 3.4 million ambazo kwa asilimia kubwa zinawafikia jirani zetu kupitia barabara zetu hapa Tanzania. Ukipitia takwimu za 2017/18, TAZARA imefanikiwa kusafirisha mizigo ya tani 187,558 tu (3.4% ya 5.6 million) kwa njia ya reli.

Shehena za Rwanda ni asilimia 16.5% pekee (au tani 922,134) kwa mwaka wa 2017/18. Ukilinganisha na 2016/17, kuna upungufu wa 9.0% - kitu ambacho kinaashiria kuwa mizigo ya Rwanda inawezekana kuwa inapitia Kenya na Uganda.

Kwa kutumia akili za kawaida (common sense), kuna haja ya kuwekeza reli ya SGR kuunganisha Tanzania na Zambia na J.D. Kongo kwa sababu business case (volume of cargo) ni kubwa mno (kwa mara 3.7) kuliko Rwanda. Pia, tukiweza kuondoa hata tani 2 million barabani, TANROADS watapumua kidogo na matengenezo ya kila mara yanayotokana na uharibifu wa baraba zetu. Hii ni kwa mujibu ya data za NBS na TPA wenyewe.

Naomba mwenye taarifa kuhusu ya haya maamuzi ya kupeleka SGR Rwanda atujulishe zaidi

Mzigo wa Tani 900,000 wa Rwanda ndio unajengewa SGR? Huu mzigo utaweza kugharamia hata uendeshaji wa SGR kweli? Ukizingatia toka Rwanda treni inarudi tupu Tanzania hakuna cha kubeba.

Hakuna anayejadili mizigo itatoka wapi ya kubeba, au tutaitafuta SGR Ikikamilika? Speaker Ndugai alisema unatanguliza mkokoteni kabla ya Ng'ombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliandika PseudoDar186

Nimepitia takwimu kutoka the National Bureau of Statistics (NBS) na Tanzania Ports Authority (TPA) kuhusu mizigo / shehena yanayopitia bandari za Tanzania kwenda au kutoka nchi za jirani.

Kwa mwaka 2017/18, jumla ya tani 5.6 million zilipitia Tanzania (bandari ya Dar es Salaam pekee) kwenda au kutoka nchi za jirani, ikilinganishwa na tani 4.8 million mwaka 2016/17. Hili ni ongezeko la asilimia 17.1 na ni habari njema kabisa kwa TPA na nchi yetu kwa ujumla.

Ukiangalia mchanganuo wa shehena zinazoenda au kutoka nchi za jirani, asilima 61.1% ni za Zambia (36.6%) na J.D. Kongo (24.4%). Hii ni zaidi ya tani 3.4 million ambazo kwa asilimia kubwa zinawafikia jirani zetu kupitia barabara zetu hapa Tanzania. Ukipitia takwimu za 2017/18, TAZARA imefanikiwa kusafirisha mizigo ya tani 187,558 tu (3.4% ya 5.6 million) kwa njia ya reli.

Shehena za Rwanda ni asilimia 16.5% pekee (au tani 922,134) kwa mwaka wa 2017/18. Ukilinganisha na 2016/17, kuna upungufu wa 9.0% - kitu ambacho kinaashiria kuwa mizigo ya Rwanda inawezekana kuwa inapitia Kenya na Uganda.

Kwa kutumia akili za kawaida (common sense), kuna haja ya kuwekeza reli ya SGR kuunganisha Tanzania na Zambia na J.D. Kongo kwa sababu business case (volume of cargo) ni kubwa mno (kwa mara 3.7) kuliko Rwanda. Pia, tukiweza kuondoa hata tani 2 million barabani, TANROADS watapumua kidogo na matengenezo ya kila mara yanayotokana na uharibifu wa baraba zetu. Hii ni kwa mujibu ya data za NBS na TPA wenyewe.

Naomba mwenye taarifa kuhusu ya haya maamuzi ya kupeleka SGR Rwanda atujulishe zaidi
Tusikimbilie kufika Rwanda - tuanzie kutoa mzigo Bandari ya Dar na kuupeleka Ruvu mkoa wa pwani, Morogoro, Dodoma, Itigi, Tabora mpaka Isaka. Na kurudi kwa mizigo yetu tu. Ni uhitaji mkubwa wa SGR kabla ya kwenda Rwanda. Sasa ongeza mzigo wa Rwanda, DRC, Uganda, Burundi na Southern Sudan na pia Kenya.
Hivyo msiushambulie huu mradi ila mseme pia kusini nako SGR ijengwe hii ikimalizika mpaka tuweze kuisambaza sehemu zote za nchi yetu.
 
Back
Top Bottom