Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Aliyewauza ni yule msomamizi wa mazoezi (J, Mou)Hivi CHELSEA tunakoseaga wapi tunapouzaga wachezaji....wote hawa Tumewauza Sisi,leo wanatuumiza vichwa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyewauza ni yule msomamizi wa mazoezi (J, Mou)Hivi CHELSEA tunakoseaga wapi tunapouzaga wachezaji....wote hawa Tumewauza Sisi,leo wanatuumiza vichwa....
Huo ni ukweli, lakini kawapa nini Liverpool?M. Salah amefunga goli za EPL pekee 24 na assist 8, wakati Kelvin De Bryne amefunga goli 7 na assist 14. Kwa takwimu hizi M. Salah ni superior kwa De Bryne. Unahitaji kuwa na mtindio wa ubongo kuubishia huu ukweli mtamu.
Lete na wewe Habari za hazard *****Mashabiki wa Mamaesta urinated walivyo viherehere, swali limeuliza Salah na DE Bruyne wao wanaleta story za Martial
Hao Liverpool ndio wamemfanya aonekane mzuri,Huo uzuri wake mbona haukuonekana Chelsea au Roma au Basel?Huo ni ukweli, lakini kawapa nini Liverpool?
Mohamed Salah ni mchezaji mzuri anapoteza muda Liverpool
Kaka umekula maharage ya wap?? Aling'ara fc basel ndio maana Chelsea wakamchukua, alivyokuja kocha mpya hakua na mipango nae akauzwa roma nako akaupiga mwingi muulize marcelo atakuambia shughuli yake, baada ya kufanya vzuri roma akaja liver na saivi anaupiga mwingi akitoka hapo anaenda MadridHao Liverpool ndio wamemfanya aonekane mzuri,Huo uzuri wake mbona haukuonekana Chelsea au Roma au Basel?
Mkuu alipoondoka Chelsea alienda Roma nadhani huko hukumfuatilia vizuri. Kawasha moto na ndio sababu Liver wakamchukua, kule hakusika kwa sababu waandishi wa habari wapo sana EPL na ndio sababu mpaka sa izi unamsikia.Hao Liverpool ndio wamemfanya aonekane mzuri,Huo uzuri wake mbona haukuonekana Chelsea au Roma au Basel?
Hajang'ara huko kote kama anavyong'ara sahv acha upinguwani mkuu.Huko kote alikua anajitahidi tu.Kaka umekula maharage ya wap?? Aling'ara fc basel ndio maana Chelsea wakamchukua, alivyokuja kocha mpya hakua na mipango nae akauzwa roma nako akaupiga mwingi muulize marcelo atakuambia shughuli yake, baada ya kufanya vzuri roma akaja liver na saivi anaupiga mwingi akitoka hapo anaenda Madrid
Hazard keshachukua alipotupa ubingwa. Hata hivyo thread inataka tubase kati ya KDB na Salah.Lete na wewe Habari za hazard *****
Kwani KDB anacheza nafasi moja na salah?.M. Salah amefunga goli za EPL pekee 24 na assist 8, wakati Kelvin De Bryne amefunga goli 7 na assist 14. Kwa takwimu hizi M. Salah ni superior kwa De Bryne. Unahitaji kuwa na mtindio wa ubongo kuubishia huu ukweli mtamu.
Sasa wewe Uchafu wa pumba uyo martial wako hujui kua anatamani kuwa kama Eden?Lete na wewe Habari za hazard *****
Kama uzuri wake hauku onekana Basel Chelsea walimnunua kwa ushawishi upi?Hao Liverpool ndio wamemfanya aonekane mzuri,Huo uzuri wake mbona haukuonekana Chelsea au Roma au Basel?
Uchafu wa pumbu huna akili kichwa kimejaa matope tupuHajang'ara huko kote kama anavyong'ara sahv acha upinguwani mkuu.Huko kote alikua anajitahidi tu.
Fikiria upya boss, huyo mtoto unamfananisha na nani eti??? Mi ni mshabiki wa United ila kati ya wachezaji wasioifaa timu, yeye yumo!Antony Martial ni mchezaji hatari sana. Kitu kinachonifurahisha ni kwamba hajawahi muogopa beki yoyote. Anavocheza ni kama Zinedine Zidane, Ronaldo Luis Nazario De Lima, Thiery Henry, Figo au Giggs. Huwa nakumbuka mbali sana.
Nimekupuuzia.Uchafu wa pumbu huna akili kichwa kimejaa matope tupu
KDB ukibisha wewe shogaMooo Saaaaalah ukibisha we shetani