Nani atakuwa Mchezaji bora wa Msimu EPL kati ya Salah na De Bruyne?

M. Salah amefunga goli za EPL pekee 24 na assist 8, wakati Kelvin De Bryne amefunga goli 7 na assist 14. Kwa takwimu hizi M. Salah ni superior kwa De Bryne. Unahitaji kuwa na mtindio wa ubongo kuubishia huu ukweli mtamu.
 
Huo ni ukweli, lakini kawapa nini Liverpool?

Mohamed Salah ni mchezaji mzuri anapoteza muda Liverpool
 
Hao Liverpool ndio wamemfanya aonekane mzuri,Huo uzuri wake mbona haukuonekana Chelsea au Roma au Basel?
Kaka umekula maharage ya wap?? Aling'ara fc basel ndio maana Chelsea wakamchukua, alivyokuja kocha mpya hakua na mipango nae akauzwa roma nako akaupiga mwingi muulize marcelo atakuambia shughuli yake, baada ya kufanya vzuri roma akaja liver na saivi anaupiga mwingi akitoka hapo anaenda Madrid
 
Hao Liverpool ndio wamemfanya aonekane mzuri,Huo uzuri wake mbona haukuonekana Chelsea au Roma au Basel?
Mkuu alipoondoka Chelsea alienda Roma nadhani huko hukumfuatilia vizuri. Kawasha moto na ndio sababu Liver wakamchukua, kule hakusika kwa sababu waandishi wa habari wapo sana EPL na ndio sababu mpaka sa izi unamsikia.

Fuatilia rekodi akiwa ROMA
 
Hajang'ara huko kote kama anavyong'ara sahv acha upinguwani mkuu.Huko kote alikua anajitahidi tu.
 
M. Salah amefunga goli za EPL pekee 24 na assist 8, wakati Kelvin De Bryne amefunga goli 7 na assist 14. Kwa takwimu hizi M. Salah ni superior kwa De Bryne. Unahitaji kuwa na mtindio wa ubongo kuubishia huu ukweli mtamu.
Kwani KDB anacheza nafasi moja na salah?.

Kama issue ni goals muwekepo aguero alfu ufichage upumbavu wako
 
Antony Martial ni mchezaji hatari sana. Kitu kinachonifurahisha ni kwamba hajawahi muogopa beki yoyote. Anavocheza ni kama Zinedine Zidane, Ronaldo Luis Nazario De Lima, Thiery Henry, Figo au Giggs. Huwa nakumbuka mbali sana.
Fikiria upya boss, huyo mtoto unamfananisha na nani eti??? Mi ni mshabiki wa United ila kati ya wachezaji wasioifaa timu, yeye yumo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…