Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Ishu sio kufunga magori tu , Dr Bruyne ana perform mechi kubwa na ndogo huku Salah yeye anaonea vi Watford. Hamna kama De Bruyne msimu huu
Umekariri? Au unachuki tu na salah? Kwa hiyo magoli yote 28, sahah kaifunga Watford pekee!!!! Kweli mapenzi hupofusha.Ishu sio kufunga magori tu , Dr Bruyne ana perform mechi kubwa na ndogo huku Salah yeye anaonea vi Watford. Hamna kama De Bruyne msimu huu
Si bora Chelsea alikua na uhakika wa makombe. Na ndio maana nasema anapoteza muda.anapoteza muda liverpool wakati nyota yake ndio imeng'aa hapo anfield?nadhani alipoteza muda alivyokuwa chelsea na AS Roma
Si bora Chelsea alikua na uhakika wa makombe. Na ndio maana nasema anapoteza muda.
Teh.. Sawa mkuu.Usijali! Next Season atakuja Chelsea kuutunza Muda Anaoupoteza [HASHTAG]#LiverpoolFC[/HASHTAG]
Acha ushabiki na hata Kama una ushabiki basi uwe unafatilia kabla hujasema kitu, timu zilizopo top 6 EPL kazifunga zote kasoro man u tu.Ishu sio kufunga magori tu , Dr Bruyne ana perform mechi kubwa na ndogo huku Salah yeye anaonea vi Watford. Hamna kama De Bruyne msimu huu
Salah s strikerUnalazimisha de bruyne awe sawa magoli na striker?
na alivyoisaidia timu ya kupata mafanikio, kuchukua ubingwaUpo sahihi ila wanachoangalia sio tu assist na magoli.. ata movement uwanjani pia, namna unavyokuwa chanzo cha mashambulizi au kuzuia
**** wewe unaongea usenge2Huo ni ukweli, lakini kawapa nini Liverpool?
Mohamed Salah ni mchezaji mzuri anapoteza muda Liverpool
Hebu kuwa kwanza ndio uje kuandika vitu vya maana hapa. Umeshafanya homework**** wewe unaongea usenge2