Salah anafunga sana, KDB ana assist sana, na wote ni tegemeo kwenye timu zao, unahisi nani anapaswa kuwa Mchezaji bora wa Msimu?
Kwangu mimi nampa nafasi Salah.
Hata hii nafasi ya kumweka katika kundi la wachezaji wazuri umeipata baada ya kumuona anafanya vizuri Liverpool.... sasa anapoteza muda katika upande upi unaouzungumzia labda