Nani atakuwa Mgombea Mwenza wa Samia mwaka 2025?

Nani atakuwa Mgombea Mwenza wa Samia mwaka 2025?

Dr mpango siyo mchumi mahili kama inavyitaka kutuaminisha. Kuna mchumi Gani asiyejua hesabu. Mpango amesoma HGE which means hajui hesabu. Mchumi mahili ni aliyesoma EGM
Wewe endelea kuwa muumini wa hayo ma combination yako ya bandia wakati kuna mtu wa darsa la saba mpaka sasa ni Dr bingwa amana hospital.
So what is your position
Mine is that, Dr Mpango is a bona fide Tanzania born at Kasumo village Buhigwe District in Kigoma region. Anything short of this, shall be a clear misconception.
 
Mpango anakera kinoma.

Ana kisauti fulani Cha kinafiki na unyenyekevu feki muda wote.

Hajawahi kuwa na legacy Wala kufanya Jambo la maana.

Watu wa Kigoma ni MABINGWA wa uchawa, nadhani ndicho kikichompa hiyo nafasi
Motherfucker, ujue Mpango hiyo 2015 hakuwa hata na nia ya kugombea udiwani, huo uchawa unatoka wapi?

Motherfucker wewe.
 
Motherfucker, ujue Mpango hiyo 2015 hakuwa hata na nia ya kugombea udiwani, huo uchawa unatoka wapi?

Motherfucker wewe.

Uchawa wake ni kwa kupitia kwa Vasco Dagama!!! Remember kuwa alikuwa karani wa Kikwete Ikulu!!
 
umetoa nondo nzuri sawa ila sio kila suala litaenda kama inavyotakiwa we just imagine nowadays mwanaume ana mume je suala unalotaka (la ushawishi wa kisiasa)
 
Nyie wote ndio hao hao wakutoka Burundi!!
Halafu tena mkuu Bulesi umenikumbusha kitu. Hivi kwani watu wanaotoka Kigoma na Kagera wanadhaniwa kuwa wote ni wakimbizi japo hata kwa utani wakati watu wanaotoka Moshi, Arusha, Mtwara , Mbeya na Songwe ambako nako kote kuna mipaka na nchi za nje hawadhaniwi kuwa ni wakimbizi japo kwa utani?
Kuna mpaka pale tunduma, Namanga, Holili, n.k lkn wakazi wa mikoa yenye vivukio hivyo kwa nini hawanasibishwi na ukimbizi?
 
Hao wengine nchi wanazopakana
nazo zina neema; hakuna njaa na vurugu ya kusabisha watu kuhama nchi zao!
 
Hao wengine nchi wanazopakana
nazo zina neema; hakuna njaa na vurugu ya kusabisha watu kuhama nchi zao!
Duh! Si kwamba ni dhana potofu kama ile inayoaminiwa na wengi kuwa upande wa Kaskazini wa nchi yetu haupaswi kutoa rais na wala makabila makubwa hayapaswi kutoa rais wa JMT?
 
Back
Top Bottom