Nani atakuwa Mgombea Mwenza wa Samia mwaka 2025?

One man down. Over
 
Babu yangu Dr SAS mlimnyima urais kwa grounds hizi hizi za Bashes. CCM mna husda sana
 
Bandiko hili lilimponza maembe Aiseh!!

Yaani dah we mchawi sana!!


Nchimbi ataula naona huko kwao Ruvuma miundombinu inasheheni huko songea!awe makini ya Maembe nayo yasije kumkuta kudunguliwa kabla halijaiva!

2025 MBALI SANA!!
 
Inno hawezi kusaidia kura za vijana? na wanawake(ana mvuto,pia anaonekana ni mtoto mwenye adabu)
 
Mpango ni mwadilifu, mchapakazi, mnyenyekevu na ana hofu ya Mungu. Tunahitaji viongozi wa aina hii.
πŸ€”
 
Umetoa hoja nzuri ila mifano unayotoa inaonyesha wewe ni chawa fulani, upo kwa ajili ya kupigia debe mtu au kikundi fulani.
 
Kwa ufupi ni kwamba mgombea urais hawezi kumteua mgombea mwenza anayemzidi umaarufu. Ndio maana Magufuli alimuokota Samia kwa kuwa hakuwa na umaarufu au ushawishi wa kisiasa kuliko Magufuli. Hivyo utakuja kushangaa rais Samia anaokota mgombea from no where anampachika pale kazi inaendelea. Hatajali chochote kwa sababu uwezo wa kuiba kura CCM wanao.
 
Sabaya Makamu wa Rais,Makonda Waziri Mkuu.
 
Gazeti lote umelizima kwa mistari isiyozidi kumi !πŸ˜…πŸ‘πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…