Nani atakuwa Mgombea Mwenza wa Samia mwaka 2025?

Sabaya Makamu wa Rais,Makonda Waziri Mkuu.
Duh πŸ™„ ! Itapendeza sana Wajameni !!
Historia inatujulisha kwamba hata Adolf Hitler alikuwa kijana muuza magazeti mitaani ( street vendor ) akapanda haraka haraka mpaka kuwa Mkuu wa Taifa kubwa kisha akawa na mawazo ya kuitawala Ulaya na Dunia yote !!
 
Kati ya wote uliowataja hapo mtu pekee anaeweza kunishawishi Mimi binafsi ni Bashe ila Kwa sababu ni Muislamu hawezi kuwa mgombea mwenza wa Samia.

Waliobakia hamna kitu walau Simbachawene,Lukuvi na Bashungwa hao wengine ni Bora Dr.Mpango japo wao ni Wanasiasa.
 
Dah ila Kuna watu wanaona mbali πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hii ndio political science na uzi maridadi uliochambuliwa kitaalam haswa. Nilichelewa kuuona.
E. Nchimbi yumo japo mambo bado mengi sana kufikia mwisho wa Julai na mwanzo mwanzo wa Agosti.
 
Kiko wapi wewe chawa usie na data
 
Unaendeleaje hapo?? Tusubiri malipizi ya timu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…