Uchaguzi 2020 Nani atakuwa tayari kuchagua Wabunge wanaotumia madawa ya kulevya na pombe kali?

Nakushauri uache kuteseka na CDM kile chama cha umma sioni kwanini mnakiogopa CDM na Viongozi wake wakati tayari mlisha wafunga na kuwaumiza na hata kuwauwa wengine. Hiyo hofu yenu ya kutumia mabilioni kushindana na wagonjwa wanojiuguza hospitalini inatoka wapi?!
 
Kumbuka wanapovuta bangi na kutumia pombe kali wanatumia pesa za umma.
 
Anakupa tofauti yake na wabunge wa Chadema ambao huvuta bangi na madawa ya kulevya huku wakishushia na konyagi
Hata Kishimba na Musukuma wanatumia bangi na wanafanya vizuri bungeni!

Bangi inatumiwa na wengi tu iwe viongozi wa kisiasa ama wanataaluma......sema watoto wa siku hizi wako kidigitali zaidi wanajipoza kwa mitandao!
 
nadhani tunahitaji brain yake kuliko tabia personal, sasa kama analewa halafu anaongea points na asiyelew halafu yeye muda wote anagonga meza tu,,,,,yupi mzuri,,,,,tutaendelea kuwachagua hao hao walevi
 
Hata Kishimba na Musukuma wanatumia bangi na wanafanya vizuri bungeni!

Bangi inatumiwa na wengi tu iwe viongozi wa kisiasa ama wanataaluma......sema watoto wa siku hizi wako kidigitali zaidi wanajipoza kwa mitandao!
Hilo la Kishimba na Msukuma halina ushahidi . Bali wao walipendekeza kuwe na kilimo halali ili itumike kwa matibabu
 
Back
Top Bottom