johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uongozi ni karama.Jikite kwenye mada nani atachagua viongozi kama hawa?
Pierre Liquid aliongoza ujumbe wa wabunge zaidi ya 70 jijini Cairo kuisupport timu ya taifa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongozi ni karama.Jikite kwenye mada nani atachagua viongozi kama hawa?
Hoja sio ulevi wa pombe. Bali kunywa pombe kali na kuvuta bangi na kumsumbua Spika. Wakati wapiga kura na wananchi wako hoi.Unasahau watu wana personal life lao apart from being a leader, Ila pia Hizo pombe unazozipinga hapa ni Moja ya Revenue generator kubwa sana Kupitia kodi pengine walevi tuki stop kodi itapungua na kuna huduma utakosa afu pombe iko legally ndo mana inauzwa Openly. Sio shida mtu kutumia pombe as long anatekeleza majukumu yake kwenye maeneo sensitive wanafanya testing kuhakikisha mtu awe katika kiwango fulani cha alcohol ndo awe permitted kufanya kazi kama mnahisi hio pia ni muhimu kwa Wapiga domo Politicians basi fanyeni alcohol testing ya wabunge kabla hawajazama mjengoni
Kamuulize Msukuma kama anatakiwa kuchaguliwa au aachwe kwa vile anavuta bangi na anakunywa whisk?We utawachagua wabunge kama hao?
kitwanga ni mwana chadema? mkapa yule mlevi wa KONYAGI ni mwana chadema? japo uliiba mitihani yako lakini kuwa na fikra pevu kidogoKuvuta bangi na kunywa pombe kali kisha kwenda bungeni ni kosa kubwa,ni kudharau wanachadema kuwa ni wapuuzi.
Tunakaribia kufika mwezi wa kumi na ni mwezi ambao Watanzania tunakwenda kuchagua wawakilishi wa Wananchi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwa upande wa Rais ni wazi kuwa tayari ameshapatikana. Ila anasubiri kutangazwa tu.
Ila kwa Ubunge nafikiri hali ni mbaya hasa kwa Chadema maana spika wa bunge amenukuliwa akisema wabunge wa chama hiki wanatumia madawa ya kulevya na pombe kali na ndio maana walikuwa hawana hoja zaidi ya kuropoka na kupinga hata kama jambo linamanufaa kwa wananchi. Hii ni kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania.
Hii ni dhahiri kuwa hawana nafasi tena ya kurudi bungeni sababu nani mwenye akili timamu atarudia makosa ya kuchagua wabunge wasiojielewa na walevi wa mihadarati na pombe kali ambao hawajali kero za wananchi? Jibu ni hakuna.