Uchaguzi 2020 Nani atakuwa tayari kuchagua Wabunge wanaotumia madawa ya kulevya na pombe kali?

Unasahau watu wana personal life lao apart from being a leader, Ila pia Hizo pombe unazozipinga hapa ni Moja ya Revenue generator kubwa sana Kupitia kodi pengine walevi tuki stop kodi itapungua na kuna huduma utakosa afu pombe iko legally ndo mana inauzwa Openly. Sio shida mtu kutumia pombe as long anatekeleza majukumu yake kwenye maeneo sensitive wanafanya testing kuhakikisha mtu awe katika kiwango fulani cha alcohol ndo awe permitted kufanya kazi kama mnahisi hio pia ni muhimu kwa Wapiga domo Politicians basi fanyeni alcohol testing ya wabunge kabla hawajazama mjengoni
 
Uongozi ni karama.

Pierre Liquid aliongoza ujumbe wa wabunge zaidi ya 70 jijini Cairo kuisupport timu ya taifa!
Hili halina uhusiano na mtu anaetakiwa kutatua kero za wananchi na shida zao.
 
Hoja sio ulevi wa pombe. Bali kunywa pombe kali na kuvuta bangi na kumsumbua Spika. Wakati wapiga kura na wananchi wako hoi.
 
Ndugai anazingua sana na ajiandae hawezi rudi bungeni hata kwa mbeleko
 
Kweli mkuu Idugunde hawa viongozi walevi na wapenda kesi October mwisho tutawafukuza kama mbwa mwizi
 
Na wanaotumia ARV je ?
Huyo aliowataja atakuwa anawajua wenzake....

Na wezi pia maana kuna mpaka waliofoji documents za mahakama na kudhulumu ardhi ya watu...
 
Kuvuta bangi na kunywa pombe kali kisha kwenda bungeni ni kosa kubwa,ni kudharau wanachadema kuwa ni wapuuzi.
kitwanga ni mwana chadema? mkapa yule mlevi wa KONYAGI ni mwana chadema? japo uliiba mitihani yako lakini kuwa na fikra pevu kidogo
 

Argue with facts and not perception.

#COMMON SENSE IS NEVER COMMON.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…