antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mkuu, hili kwa sasa haliwezekani kwa kuwa ccm imejimilikisha 99.9% ya vyama vya upinzani. Muungano wa aina hiyo utaleta mamluki wa sisiemu kundini, na matokea yake yanajulikana.Itakuwa ni jembo linofaa endapo upinzani utaungana tena na kuweka kitu kama UKAWA ili kuwa na nguvu moja na sauti moja, kisha kutengeneza stratejia ya ushindi.
Haha,mara paap Yesu kashuka basi polisi wote ni lazima wawe na shahada ya kwanza ya chuo kikuu. nasisistiza shahada sio diploma.
Nafahamu uzuri sana.Haha,
Hivi unafahamu kuwa kamishna Jumanne Muliro ana LLB, yaani shahada ya sheria?
Nakuelewa mkuu lakini penye nia pana njia.Mkuu, hili kwa sasa haliwezekani kwa kuwa ccm imejimilikisha 99.9% ya vyama vya upinzani. Muungano wa aina hiyo utaleta mamluki wa sisiemu kundini, na matokea yake yanajulikana.
Na ukifuatilia utagundua kuwa wanaopigia chapuo muungano wa vyama ni makada (a.k.a machawa), maana wanajua hii itawapa fursa ya kufanya yao