Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Alikuwepo Dk.Slaa huyu alikuwa na source of info za uhakika na zilikuwa zikimpa pasi mpenyezo lazima aibue madudu ya kifisadi ya uhakika.
Ndio maana alikuwa anaishi maisha ya mashaka muda wote kabla hajalala lazima akague kama kuna tape recoder ili kubaini wanaomtrace.
Zitto naye kabla hajakengeuka alikuwa kidogo anajitahidi ndio maana alipokuwa Chadema aliwachachafya CCM team ufisadi mpaka Karamagi akajiuzuru.
Chadema siwasomi kabisa maana hao wabunge 19 plus mmoja kutoka Katavi ni kama team ya mpira yenye mabeki uchochoro.
Watanzania tujitafakari nani atatusemea pindi kadhia hii mbaya itapoibuka?