Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Huna macho?Bwashee, kadhia ipi mbaya yaja?
Kwani wewe unamacho mangapi,hats wengine tusione uonewewe pekee yako .Huna macho?
Ni vigumu kuingia katika akili yako, kama ilivyo ngumu wewe kuingia katika akili yangu.Huna macho?
Kichwa chako kimejaa maviMjane kama mjane
Eti uzi tayari 🤣🤣
Wimbi la maji lenye urefu wenye futi 45 na mwendo kasi wa kilomita 180 kwa saa litaipiga nchi moja iliyo mwambao wa pwani ya Afrika masharika huku wavuvi, wachuuzi, wanunuzi na nahodha wa chombo tegemezi kupigwa dhoruba, kuja kuzinduka wapo Singida.Bwashee, kadhia ipi mbaya yaja?
Mkuu umemaliza.Wimbi la maji lenye urefu wenye futi 45 na mwendo kasi wa kilomita 180 kwa saa litaipiga nchi moja iliyo mwambao wa pwani ya Afrika masharika huku wavuvi, wachuuzi, wanunuzi na nahodha wa chombo tegemezi kupigwa dhoruba, kuja kuzinduka wapo Singida.
Nahodha wa chombo tegemezi hakutarajia kuwepo hapo ila kwa hofu aliomba kwenda faragha, hakurejea, wenyeji walisubiri bila kumwona akirejea, wakashituka na kumtuma mjumbe kuhakiki usalama wake wakakuta nguo zake tu yeye hayupo.
Jitihada za kumtafuta zikaanza mara moja usku kucha hadi kesho yake saa nane mchana habari zikapatikana ameonekana kwenye eneo lenye mashimo yatoayo mawe adimu, ila hakuwa na kauli kwa ishara alionesha hatarejea tena kwenye chombo tegemezi. Kisha giza nene likatanda kiasi ambacho huwezi kumwona aliye karibu yako na hata ukiita, hupati jibu, hofu inatanda kuhusu usalama hakuna tegemeo kila mmoja anatafuta namna ya kujihami bila mafanikio.
Je, ni kitu gani kilihitimisha kizungumkuti hicho?
... ghafla nahodha msaidizi wa chombo kilichokuwa tegemezi akakirudishia chombo uhai na matumaini mapya na kuwaacha mabaharia wachache wanafiki, waliempotosha nahodha, midomo wazi na wasijue pa kuweka sura zao na wakabaki kujaribu kumfitini nahodha msaidizi bila mafanikio .....!Wimbi la maji lenye urefu wenye futi 45 na mwendo kasi wa kilomita 180 kwa saa litaipiga nchi moja iliyo mwambao wa pwani ya Afrika masharika huku wavuvi, wachuuzi, wanunuzi na nahodha wa chombo tegemezi kupigwa dhoruba, kuja kuzinduka wapo Singida.