Hahahaha yaani uchache wa mechi tu ndio unaowapa jeuri....kwan magoli mbona hamuangalii....vp kuhusika ktk magoli ukiachilia assist mbona hamuangalii? Acheni unazi dogo anajua...anacheza basic football hana mambo mengi yasiyo na msing km pogba.Pogba akifikisha mechi 23 atakuwa zaidi ya ALBINO
Na nyie assist hamuangalii...Hahahaha yaani uchache wa mechi tu ndio unaowapa jeuri....kwan magoli mbona hamuangalii....vp kuhusika ktk magoli ukiachilia assist mbona hamuangalii? Acheni unazi dogo anajua...anacheza basic football hana mambo mengi yasiyo na msing km pogba.
Wakat hii mada inaanzishwa walikua sawa kwa assist leo hii nakuandikia hii comment KDB yupo juu. Sasa unataka nn tena?Na nyie assist hamuangalii...
Hisia zimetawala kuliko akilini ujuha wa kiwango cha lami kumfananisha poga na KVD...
I do respect kiwango cha kevin, ila kwa poga bado sana,, tuachane na takwimu za msimu huu ambazo wana assist sawa japo kevin kamzidi pogba mechi nyingi kama kumi hivi za kucheza.
pogba akiwa uwanjan anakuofa vitu viwili at the same time
1. attacking., ni mzuri sana wakati ambao timu ina mpira, anapiga pasi nzuri na za haraka
2. defending,. anasaidia sana kufanya tackling pale timu inapoonekana imepoteza mpira, anarudi sana deep kumsaidia namba sita wake.
tuje kwa KDB
huyu anaonekana pale ambapo timu inaposses, pasi zake hazina mashaka hata kidogo pia ana jicho la goli, pia ana shoot. ila haonekani kabisa pale timu inapozidiwa possession, anaishia kukimbia kimbia tu.. mwangalie vizuri pale man city na belgium. pale man city amezungukwa na viungo wazuri kina silva na fernardinho pengine huo udhaifu hufichwa na hawa watu, mwangalie akiwa na belgium.
yote kwa yote mtu anaejua mpira ndiye atakubali nilichosema, mashabiki kanjanja mtapinga asubuhi tu... this is footbal
Acha kumfananisha De Bruyne na THUGS.Ikitokea wewe ni kocha na umebakiwa na nafasi moja ya 'sub' na nje wapo Paul Pogba na Kevin De Bruyne....
Nani utampa nafasi ya kuingia na kwanini?
Inakuaje timu yake inaburuzwa na Mancity?? Ushabiki pembeni, De Bruyne ni mnyama.
Simu yako yenyewe imemuweka Kelvin Juu (1)Siku hizi tuko ulimwengu wa digital hivyo hakuna sababu ya kubishana, kuna ambao watajibu kutokana na ushabiki na wengine waelewa watachukua statistics. Kabla ya mechi ya juzi ambapo man u waliponea chupuchupu kwa ushindi mwembamba pogba ndio alikuwa anaongoza EPL kwa best average rating of players akifuatiwa na Kelvin DB Ila baada ya mechi hiyo wote wako sawa kwa average rating. Binafsi kama ningekuwa kocha kwa EPL Pobga ni zaidi ya KDB statistics zinaongea sio ushabiki ama chuki.View attachment 682854
Jiulize kwa nn Ronadinho, Kaka, Zidane na Figo waliwahi kuwa wachezaji bora wa Dunia lkn hawakuongoza kwa assist au kufunga.Siku hizi tuko ulimwengu wa digital hivyo hakuna sababu ya kubishana, kuna ambao watajibu kutokana na ushabiki na wengine waelewa watachukua statistics. Kabla ya mechi ya juzi ambapo man u waliponea chupuchupu kwa ushindi mwembamba pogba ndio alikuwa anaongoza EPL kwa best average rating of players akifuatiwa na Kelvin DB Ila baada ya mechi hiyo wote wako sawa kwa average rating. Binafsi kama ningekuwa kocha kwa EPL Pobga ni zaidi ya KDB statistics zinaongea sio ushabiki ama chuki.View attachment 682854