Nani bora kati ya Paul Pogba na Kevin De Bruyne?

Nani bora kati ya Paul Pogba na Kevin De Bruyne?

Hahahaha yaani uchache wa mechi tu ndio unaowapa jeuri....kwan magoli mbona hamuangalii....vp kuhusika ktk magoli ukiachilia assist mbona hamuangalii? Acheni unazi dogo anajua...anacheza basic football hana mambo mengi yasiyo na msing km pogba.
Na nyie assist hamuangalii...
 
ni ujuha wa kiwango cha lami kumfananisha poga na KVD...
I do respect kiwango cha kevin, ila kwa poga bado sana,, tuachane na takwimu za msimu huu ambazo wana assist sawa japo kevin kamzidi pogba mechi nyingi kama kumi hivi za kucheza.

pogba akiwa uwanjan anakuofa vitu viwili at the same time
1. attacking., ni mzuri sana wakati ambao timu ina mpira, anapiga pasi nzuri na za haraka
2. defending,. anasaidia sana kufanya tackling pale timu inapoonekana imepoteza mpira, anarudi sana deep kumsaidia namba sita wake.

tuje kwa KDB
huyu anaonekana pale ambapo timu inaposses, pasi zake hazina mashaka hata kidogo pia ana jicho la goli, pia ana shoot. ila haonekani kabisa pale timu inapozidiwa possession, anaishia kukimbia kimbia tu.. mwangalie vizuri pale man city na belgium. pale man city amezungukwa na viungo wazuri kina silva na fernardinho pengine huo udhaifu hufichwa na hawa watu, mwangalie akiwa na belgium.

yote kwa yote mtu anaejua mpira ndiye atakubali nilichosema, mashabiki kanjanja mtapinga asubuhi tu... this is footbal
 
Hisia zimetawala kuliko akili
 
POGBA angekuwa anapewa majukumu ya kuwa free kama KDB angekuwa hatari sana. Mwangalie alivyokuwa anacheza kule Juve na hapo Man Utd utaona ule mpira wake wa Juve bado kabisa hajauonesha. Tatizo ni kuwa Morinho amempa majukumu ya kukaba zaidi kuliko kupanda pale mbele. Pogba anacheza vizuri akiwa nyuma ya striker.
 
Kevin De Bruyne (Manchester City)

Swali la mleta mada, Kama mimi ndio ningekuwa kocha. ningemchagua nani kati ta Paul Pogba na Kelvin De Bruyne.

Jibu hapa ni rahisi sana. Mimi ningekuwa kocha ningemchagua Kevin De Bruyne
ila kama mimi ningekuwa shabiki wa man u. ningemchagua Paul Pogba.

Wanasema anaeongoza kwa assist ndie aliemzidi mwenzake. mimi naweka chart *Correct as of 19:30 GMT on January 21, 2018

assist.png

Ila mashabiki wa man u huwezi kuwashinda maana watakuja na kitu kingine cha kuleta ubishi.

assist.png

Manchester-Citys-Belgian-midfielder-Kev.jpg
 
Mnaleta utani sasa, yaani hili Gendaheka Pogba ndiyo mlilinganishe na yule Albino?
 
Siku hizi tuko ulimwengu wa digital hivyo hakuna sababu ya kubishana, kuna ambao watajibu kutokana na ushabiki na wengine waelewa watachukua statistics. Kabla ya mechi ya juzi ambapo man u waliponea chupuchupu kwa ushindi mwembamba pogba ndio alikuwa anaongoza EPL kwa best average rating of players akifuatiwa na Kelvin DB Ila baada ya mechi hiyo wote wako sawa kwa average rating. Binafsi kama ningekuwa kocha kwa EPL Pobga ni zaidi ya KDB statistics zinaongea sio ushabiki ama chuki.
Screenshot_20180123-113516.png
 
Tatizo Nililogundua ni Kwamba Mashabiki wengi wa team pinzani wanamchagua KDB kwsbbu tu hawaipendi man u na mashabiki wa Man u wote wanamchagua pogba kwsbbu tu ni wa team yao....ata statistics kila mtu kaleta zake...
 
Siku hizi tuko ulimwengu wa digital hivyo hakuna sababu ya kubishana, kuna ambao watajibu kutokana na ushabiki na wengine waelewa watachukua statistics. Kabla ya mechi ya juzi ambapo man u waliponea chupuchupu kwa ushindi mwembamba pogba ndio alikuwa anaongoza EPL kwa best average rating of players akifuatiwa na Kelvin DB Ila baada ya mechi hiyo wote wako sawa kwa average rating. Binafsi kama ningekuwa kocha kwa EPL Pobga ni zaidi ya KDB statistics zinaongea sio ushabiki ama chuki.View attachment 682854
Simu yako yenyewe imemuweka Kelvin Juu (1)
Hapo wapo sawa ila simu yako imemuweka Jamaa wa city juu, na ukaleta kama vile ulivyosema mambo ya digitali, si ungefanya editing na kuweka maoni yako.
anyway Best try.
 
Siku hizi tuko ulimwengu wa digital hivyo hakuna sababu ya kubishana, kuna ambao watajibu kutokana na ushabiki na wengine waelewa watachukua statistics. Kabla ya mechi ya juzi ambapo man u waliponea chupuchupu kwa ushindi mwembamba pogba ndio alikuwa anaongoza EPL kwa best average rating of players akifuatiwa na Kelvin DB Ila baada ya mechi hiyo wote wako sawa kwa average rating. Binafsi kama ningekuwa kocha kwa EPL Pobga ni zaidi ya KDB statistics zinaongea sio ushabiki ama chuki.View attachment 682854
Jiulize kwa nn Ronadinho, Kaka, Zidane na Figo waliwahi kuwa wachezaji bora wa Dunia lkn hawakuongoza kwa assist au kufunga.
 
Back
Top Bottom