Dah hakika mashabiki wa Man U mna tabu. Yaan pogba katoa zile assist mbili against stoke city mnapiga kelele kweli kweli. Albino sio mtu mzur jaman. Ana uwezo wa kuamua mechi kitu ambacho pogba hana. Pia albino anaonekana hata ktk mechi kubwa, ujue hiki kitu kinamtofautisha na viungo wengi sana kama wakina ozil ambao zao ni mechi ya norwich ndio unawaona yeye ni ktk big occasion anaonekana zaid pia.halaf hzo assist zenyew wako sawa kinachofanya watu wapige kelele ni uchache wa mechi alizocheza pogba.
All in all albino yupo vizur achen masihala