Nani bora kati ya Paul Pogba na Kevin De Bruyne?

KDB [emoji91]
He shares Gerrard’s remarkable mix of talents, right down to the lung capacity which allows him to dominate the whole pitch.
 
Wewe nani ukatae?
c86379263738527e79507ee4593f081e.jpg
 
Moja kwa moja ni Poga ...
Pogba ukiachana na utukutu wa kupata kadi hayuko prone sana na injuries na ukifatilia statistics zao utaona Pogba amelingana na KDB assist ila kazidiwa mechi kama kumi na KDB na mechi zote alizocheza POGBA loose ni zero
Pogba [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nilitazama mechi ya man u na stoke city Paulo alipiga mwingi sana, ila mechi ilipoisha wachambuzi walizua hoja ambayo nilikua naiwaza sana, kwa nn pogba hua hapetfom vile kwenye big match? Jibu ni kwamba na yeye ni mchezaji wa kawaida tu siwezi kumuita world class player.
 
Dah hakika mashabiki wa Man U mna tabu. Yaan pogba katoa zile assist mbili against stoke city mnapiga kelele kweli kweli. Albino sio mtu mzur jaman. Ana uwezo wa kuamua mechi kitu ambacho pogba hana. Pia albino anaonekana hata ktk mechi kubwa, ujue hiki kitu kinamtofautisha na viungo wengi sana kama wakina ozil ambao zao ni mechi ya norwich ndio unawaona yeye ni ktk big occasion anaonekana zaid pia.halaf hzo assist zenyew wako sawa kinachofanya watu wapige kelele ni uchache wa mechi alizocheza pogba.
All in all albino yupo vizur achen masihala
 
Pogba akifikisha mechi 23 atakuwa zaidi ya ALBINO
 
Soma mada uelewe!

Kazi ya kiungo ni ku assist na kuchezesha timu.

Pogba ana assist 9 wakati amecheza mechi 13 tu

De bruyne ana assists 9 amecheza mechi 23

Kwa akili yako unadhan hapo nani zaidi?
Acheni ushabiki KDB ni habari nyingine, tupilia mbali ushabiki
 
Nilitazama mechi ya man u na stoke city Paulo alipiga mwingi sana, ila mechi ilipoisha wachambuzi walizua hoja ambayo nilikua naiwaza sana, kwa nn pogba hua hapetfom vile kwenye big match? Jibu ni kwamba na yeye ni mchezaji wa kawaida tu siwezi kumuita world class player.
Mkuu hiyo ni kutoka na jinsi united wanavyozi approach Big match kwa sasa

Mfano tafuta game ya liver na united last season uone Paul alivoupiga mwingi

POGBA IS BETTER THAN KDB
 
Back
Top Bottom