Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Hoja zinaongea...ahsante mkuu.Paul Pogba, Manchester United: 13 appearances 9assist
Neymar, Paris Saint-Germain: 14 appearances
Philipp Max, FC Augsburg: 18 appearances
Pione Sisto, Celta Vigo: 19 appearances
Leroy Sane, Manchester City: 21 appearances
Kevin De Bruyne, Manchester City: 23 appearances 9assist
Muogope Mungu weweKDB ni noma pogba she is overrated like gaucho
da bruyne habari nyingine man......
hanaga mambo mengi.... ye ni MTU wa kazi.
labda km unamzngumzia pogba wa euro Ila sio huyu wa man u iliyopigwa juz
Binadamu amekuwa takataka siku hizi?Aisee...
Hivi bado kuna watu wanamfananisha De Bruyne na hii takataka Pogba..!?
Juve alikuwa anacheza nafasi gani? Af kama hujui pogba ndie anaruhusa ya kucheza popote pale Man u sio Lukaku.. ukweli KDB Ana manufaa zaid ya Pogba labda uwe unahitaji chenga na mbwembwePOGBA angekuwa anapewa majukumu ya kuwa free kama KDB angekuwa hatari sana. Mwangalie alivyokuwa anacheza kule Juve na hapo Man Utd utaona ule mpira wake wa Juve bado kabisa hajauonesha. Tatizo ni kuwa Morinho amempa majukumu ya kukaba zaidi kuliko kupanda pale mbele. Pogba anacheza vizuri akiwa nyuma ya striker.
De bruyneIkitokea wewe ni kocha na umebakiwa na nafasi moja ya 'sub' na nje wapo Paul Pogba na Kevin De Bruyne....
Nani utampa nafasi ya kuingia na kwanini?
Ewaa ama Bakayoko!Pogba mlinganishe na kina Henderson au Drinkwater sio KDB
Tangu huu uzi uanzishwe hapa statistics za pogba na KDB ziko hivi kwenye mashindano yote
KDB-goal 3
Assist 3
POGBA-goal 0
Assist 0
Ewaa ama Bakayoko!