Nani bora kati ya Paul Pogba na Kevin De Bruyne?

Nani bora kati ya Paul Pogba na Kevin De Bruyne?

Paul Pogba, Manchester United: 13 appearances 9assist
Neymar, Paris Saint-Germain: 14 appearances
Philipp Max, FC Augsburg: 18 appearances
Pione Sisto, Celta Vigo: 19 appearances
Leroy Sane, Manchester City: 21 appearances
Kevin De Bruyne, Manchester City: 23 appearances 9assist
Hoja zinaongea...ahsante mkuu.
 
Pogba kwangu ni bora, kwanini?

Ana assist za kumzidi De Bruyne so far ukizingatia assist/matches played.

Defensively he is better than De Bruyne

Pogba is better in dribbling than De Bruyne

Pogba has an eye for a long range pass than De Bruyne

Pogba play for the biggest club than De Bruyne

The only thing De Bruyne kamzidi Pogba ni selfishness.
 
Ktk EPL kwa sasa KDB aachwe peke yake kule juu km tulivyoiacha timu yake ichungulie ubingwa. Kuna vitu watu tunaongea kiushabiki ila tukiutazama mpira albino anajua sana. Kuna watu wanasemaga eti Pogba anamzid dribbling KDB yaan wanajisahaulisha kabsa zle counter attack anazozianzisha KDB ana dribble mwanzo mpaka mwisho then anatoa pasi kwa mfungaji au mnzungumzia dribbling gan jaman?
 
da bruyne habari nyingine man......

hanaga mambo mengi.... ye ni MTU wa kazi.

labda km unamzngumzia pogba wa euro Ila sio huyu wa man u iliyopigwa juz

Ujue sasa hv watu wamebak na ile haruf ya Pogba wa Juve tu hata hvyo hakuwa ktk kiwango cha KDB. Hv huyu albino angeuzwa leo unadhan si anafka 200+ huko.
 
Pogba wa Juventus ndiyo alikuwa mashine, huyu Pogba wa Man United ni copy of the original! Huwezi kumfananisha na KDB hata kidogo...
 
Tangu huu uzi uanzishwe hapa statistics za pogba na KDB ziko hivi kwenye mashindano yote

KDB-goal 3
Assist 3

POGBA-goal 0
Assist 0
 
POGBA angekuwa anapewa majukumu ya kuwa free kama KDB angekuwa hatari sana. Mwangalie alivyokuwa anacheza kule Juve na hapo Man Utd utaona ule mpira wake wa Juve bado kabisa hajauonesha. Tatizo ni kuwa Morinho amempa majukumu ya kukaba zaidi kuliko kupanda pale mbele. Pogba anacheza vizuri akiwa nyuma ya striker.
Juve alikuwa anacheza nafasi gani? Af kama hujui pogba ndie anaruhusa ya kucheza popote pale Man u sio Lukaku.. ukweli KDB Ana manufaa zaid ya Pogba labda uwe unahitaji chenga na mbwembwe
 
Ewaa ama Bakayoko!

Hahaha....ama wakna xhaka. Mashabiki wa Man U ni kama vle wanalipuka, wanapenda kufananisha vitu vyao na vya wengne. Na hawa ndio walianzisha ubish wa ronaldo na messi. Vitu vingne mtulie tu muangalie ooh.
 
Back
Top Bottom