Nani bora kati ya Paul Pogba na Kevin De Bruyne?

Vjana mnaleta ushabk kwan hapo mleta maada hajawa specfic in club au world wide maana mpaka sasa pogba ndo kiungo bora dunian ana assist 9 kwenye timu ya taifa utamfanishaje n de bruyne
 
Unatumia makalio kujenga hoja au?
 
Tunaendelea na kutoa updates, tangu kuanzishwa kwa uzi huu takwimu ziko hivi

KDB
goal 3
Assist 6

POGBA
goal 0
Assist 0
 
Paul Pogba Vs Kelvin De Bruyne
 
Hata kulinganisha hujui kabisa, Pogba hata kwa Tshishimbi tu haoni ndani
 
Back
Top Bottom