Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia makalio kujenga hoja au?Vjana mnaleta ushabk kwan hapo mleta maada hajawa specfic in club au world wide maana mpaka sasa pogba ndo kiungo bora dunian ana assist 9 kwenye timu ya taifa utamfanishaje n de bruyne
Unatumia makalio kujenga hoja au?
hatrick assist hahahaJaman debruine kapiga hattrick leo km kawaida
Ni kweli huyu dogo yeye anajulikana kwa kazi moja tu. Ila pogba mmmh.Kelvin ni mzuri sana kuliko Pogba.Pogba Bshoo sana
Tunaendelea na kutoa updates, tangu kuanzishwa kwa uzi huu takwimu ziko hivi
KDB
goal 3
Assist 6
POGBA
goal 0
Assist 0
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ewaa ama Bakayoko!
Labda anataka umfananishe na Mrisho Ngasa... [emoji2] [emoji2] [emoji2]Unataka Tumlinganishe/ Kumfananisha Na Nani?
Hahahahah, [emoji28] [emoji28] [emoji28] huyo ni wa kulinganisha mkude au kichuyaLabda anataka umfananishe na Mrisho Ngasa... [emoji2] [emoji2] [emoji2]
KichuyaUnataka Tumlinganishe/ Kumfananisha Na Nani?