Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Wapi naweza kumpata dalali Arusha ili niweze kutafuta nyumba ya kukàa?
Nyumba ya kupangisha, siyo kasri.
Nyumba ya kupangisha, siyo kasri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda instagram search dalali arushaWapi naweza kumpata dalali Arusha ili niweze kutafuta nyumba ya kukàa?
Nyumba ya kupangisha,siyo kasri.
Ongeza ongeza nyamaLabda sihitaji kutafuta nyumba tena Arusha.
Jana nilikuwa nimetuma post kwa uchungu mkubwa ya matatizo niliyoyapata. JF wameifuta posti yangu baada ya dakika tano.
Kwa hiyo,nikafikiri dakika tano na nikaamua kuandika hiyo posti ya kutafuta apartment Arusha.
Hawa JF wana huruma sana. Kwa hiyo sasa wakaifuta posti yangu nikawa absolutely defenceless.
Lakini hidaya imepita usiku.
Jambo JF waliloona huruma kufanya,limefanywa na hidaya.
Yule mtu aliyekuwa ananisumbua yuko hospitali sasa hivi,na,in fact,mimi ndiye namuuguza.
Sitaki kuzungumza vibaya kuhusu watu ambao wako hospitali,but this is what happened.
Andrew si uachage kulewa? Ama umeanza kuvuta bange?Labda sihitaji kutafuta nyumba tena Arusha.
Jana nilikuwa nimetuma post kwa uchungu mkubwa ya matatizo niliyoyapata. JF wameifuta posti yangu baada ya dakika tano.
Kwa hiyo,nikafikiri dakika tano na nikaamua kuandika hiyo posti ya kutafuta apartment Arusha.
Hawa JF wana huruma sana. Kwa hiyo sasa wakaifuta posti yangu nikawa absolutely defenceless.
Lakini hidaya imepita usiku.
Jambo JF waliloona huruma kufanya,limefanywa na hidaya.
Yule mtu aliyekuwa ananisumbua yuko hospitali sasa hivi,na,in fact,mimi ndiye namuuguza.
Sitaki kuzungumza vibaya kuhusu watu ambao wako hospitali,but this is what happened.
Yule mtu yuko hospitali. Nyumba yake imeangukiwa na mti usiku,kwa ajili ya upepo mkali,ukuta wa nyumba unebomoka. Sasa yule mtu nilikuwa Nate katika simu,kwa hiyo hali yake labda siyo mbaya sana.Ongeza ongeza nyama