Nani dikteta ? Kiongozi au serikali ?

Nani dikteta ? Kiongozi au serikali ?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Ni bora mkatudadavuliya ili tujue ni nani na kipi kinatofautisha udikteta.
Vipimo vitasaidia na kuwasaidia waamuzi wanapoamua ili watazamaji wasione kuna upendeleo.
Kuna mtu alimwita jamaa dikteta uchwara kisha akatoka baru ,sikuelewa hadi leo hajarudi ,nikimaanisha akimuogopa Dicteta au serikali ? Hapo ndipo lilipo suali ni mtu au serikali ?
 
Usijisumbue sana ni kwamba sasa hivi ni mtindo mpya tu wa kuita rais kuwa ni dikteta, imeanza kwa Magufuli ikaja kwa Samia na itaendelea hivyo kwa marais wengine pia mpaka litakapopatikana jina lengine au wakichoka kutumia hilo jina la dikteta. Kwa sababu ukitafakari utaona kwamba kuna ambao walikuwa wanamuona Magufuli ni dikteta ila sasa hivi hawamuoni Samia kuwa ni dikteta ila pia kuna ambao bado wanaendelea kuona hadi Samia pia nae dikteta, kwahiyo utagundua kuna tatizo kwenye vigezo vyenye kutumika hadi kuweza kusema kiongozi fulani ni dikteta ni wazi zinatumika sababu binafsi zaidi.
 
Back
Top Bottom