ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ni kweli sio mfuatiliaji sana wa soka la nyumbani..Jamaa wewe ni JF-Expert member alafu unauliza swali kama hili au ulikua unaota? inaelekea sio mfwatiliaji kabisa wa mambo, hili jambo wiki iliyopita yoye liliongelewa hapa kwenye sport tena mada kibao, au ulikua busy na majukwaa mangine, pia inaelekea wewe sio mwana michezo, kama basi hununui gazeti pitisha macho kwenye vuchwa vya habari au sikiliza redio mbao