Nani hasa Aliyeshuka Daraja? Stand au Kagera Sugar?

Nani hasa Aliyeshuka Daraja? Stand au Kagera Sugar?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Inajulikana African Lyon ndio walishuka daraja msimu huu lakini kumepita mkanganyiko mkubwa wa kutokua na uhakika anayeshuka anashuka na Nani kati ya stand na kagera sugar
Mwanzo ikasemwa kashuka Stand Mara Kagera mara tena Stand..... Tena jana nimesikia kagera anacheza play off kupigania abaki Tpl... Kwa kweli Tff sijawaelewa....
 
Hufuatilii habari mkuu. Tff wali confirm ni Kagera ndio atacheza playoffs baada ya kugundua makosa kwenye records za tff
 
Hakuna bodi pale wtz tujue maumivu tuu yale ubingwa wenyewe wa viti maalumu
 
Jamaa wewe ni JF-Expert member alafu unauliza swali kama hili au ulikua unaota? inaelekea sio mfwatiliaji kabisa wa mambo, hili jambo wiki iliyopita yoye liliongelewa hapa kwenye sport tena mada kibao, au ulikua busy na majukwaa mangine, pia inaelekea wewe sio mwana michezo, kama basi hununui gazeti pitisha macho kwenye vuchwa vya habari au sikiliza redio mbao
 
Fuayilia msimamo wa ligi, hakikisha unasoma vizuri na hatma ya waliona nafasi nne za chini...
 
kagera akifungwa na pamba pale kaitaba anashuka daraja!
 
Jamaa wewe ni JF-Expert member alafu unauliza swali kama hili au ulikua unaota? inaelekea sio mfwatiliaji kabisa wa mambo, hili jambo wiki iliyopita yoye liliongelewa hapa kwenye sport tena mada kibao, au ulikua busy na majukwaa mangine, pia inaelekea wewe sio mwana michezo, kama basi hununui gazeti pitisha macho kwenye vuchwa vya habari au sikiliza redio mbao
Ni kweli sio mfuatiliaji sana wa soka la nyumbani..
Kama ni hivyo nikiri sikufuatilia
 
Back
Top Bottom