Nani hasa anafanya maamuzi katika nchi hii ya Tanzania?

Asalaam,

Kila uchao maswali yanakuwa mengi bila majibu. Katika mijadala inayoendelea hasa hasa kuhusu bandari na mingine inayoanza kusikika kama TFS, TPDC, etc. Kuna eneo nimejaribu kuangalia kama limeongelewa sijaona. Kelele ni nyingi, uchungu ni mwingi, furaha ni kubwa, vijembe na tambo mbali mbali. Wako wanaolaumu na wanatoa sababu, wako wanao sifia na wanatoa sababu japo hawagusi vifungu ndani ya mkataba. Sasa swali la msingi: Je, NI NANI HASA HASA HUWA ANAFANYA MAAUZI JUU YA MASUALA MAZITO YA KIDOLA KAMA HAYA? Au ni Idara gani katika serikali, katika chama au katika bunge au taaisisi nyingine yoyote ile. Huyu mfanya maamuzi akijulikana akijulikana anaweza kuyafafanua haya.

Nimeona na kusikia haya majadiliano ya juzi akiwemo RA, Zitto, Jenerali na wengine wengi. Nao wamejaa vijembe, masengenyo na lugha tamu lkn kali kwa umma. Sijasikia mtu akihoji aliko mfanya maamuzi ya taifa hili, yaani walioamua na kuanza maongezi na hawa watia saini. Hawa wafanya maamuzi huwa wanamulikwa na kuangaliwa na nani au na chombo gani ili wasipige rushwa? Hicho chombo kama kipo kwanini hakijitokezi kuwasemea na kutetea? Kwanini kwanini kwanini kwanini?

Jambo la Pili

Nani hasa ni mlinzi wa hizi mali na rasilimali za taifa? Kwa kawaida huwa anazilinda kwa kutumia mbinu gani? Huyu mlinzi anasemaje juu ya usalama wa mali hizi, huyu mlinzi huwa analipwa na nani kuzilinda.?

Kwa maswali mengi ya namna hii najiuliza hivi Taifa hili lina yeyote anaelijua? Au lina yeyote anaejua linakoenda? Au bado wavumbuzi wanahangaika kulijua?

Mwisho

Hawa wanaoongea Wanasiasa, wapinga mkataba, Waunga mkono mkataba nani anatumia tumbo na nani anatumia akili? Au wote wako sehemu moja.

Tunendelee kujifunza
hiki ulichoandika hapa ndio tatizo letu namba moja, inaonekana hatuna watu wanao-dictate namna nchi inatakiwa iende, na wapi tutakua miaka zaidi ya 50-100 ijayo!,

anyway, mimi huwa naamini these are spiritual issues, kwamba hao watu lazima wawe na spiritual connection ili kutambua 50 yrs to come dunia itakua wapi, na nafasi yetu itakua ipi katika wakati huo.........

kwa sababu dunia haiendeshwi kwa mapenzi ya wanadamu, bali wanadamu wanatumikia mashauri ya nguvu za kiroho zinazoongoza dunia........,
 
Katika nchi yetu kama zilivyo katika nchi zingine nyingi za kidikteta hapa duniani, mamlaka yote ya nchi yapo kwa watawala, hususani mtawala mkuu wa nchi husika pamoja na wafuasi au vibaraka wake, ingawaje utaratibu sahihi unaotakiwa ni kwamba mamlaka yote ya nchi yapo kwa umma wa wananchi ktk nchi husika..
Katika nchi chache ambazo watu wake wamestaarabika, na hata watawala na utawala wao umestaarabika pia, mamlaka ya nchi husika yapo zaidi kwa wananchi. Wananchi walio wengi ndio wenye maamuzi ya mwisho kuhusu mustakabali wa nchi yao.
mkuu samahani kwa taarifa,
hakuna nchi ya aina hii unayojaribu kuielezea hapa,.... hakuna nchi ambayo wananchi ndio wenye sauti ya mwisho (hasa kwa nchi zilizoendelea),

kuna forces behind the scene ndio zinaongoza mambo, na kama raisi/mtawala hataki kuongoza huwa wanatumia dirty tactics (umma) kumwondoa
 
Urais si nafasi ya mtu kuamka tu asubuhi na kupewa kama chai vile, matokeo ndio haya!
 
Huna ujualo... umejawa na chuki tu!

Mfano rahisi... "ufungue biashara wewe wa bara na jirani yako awe mpemba/mzanzibar na wote mfanye biashara inayofanana, alafu tuwape miaka mitatu ("3") tuone nani atakuwa mbali kibishara na kimafanikio"

Utasema wa visiwani wachawi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487]

Wale ni matajiri kwa taarifa yako kuzidi nyinyi mnaojinadi kwa maneno. Na hilo ndo linalowadumaza wengi mnakufa malofa kwa kupenda sifa za midomo zisizo na tija. Huo utajiri umekunufaisha nini wewe?!

Nenda basi Bulyang'ulu kule waambie wakupe kilo moja ya almasi ukauze uwe mdosi na wewe wakikuzuia anzisha tifu sema hizi ni mali zetu mimi ni mzawa nataka kutajirika nipeni ni haki yangu [emoji4]
Wazanzibar Gani matajiri umewahi kufika Zanzibar uone umasikini ulivyotapakaa ?

Hao wazanzibar wanawazidi nini wananchi wa Geita au Katavi kwenye kulima au kujishughulisha ?
 
Wanajaribu kupooza mambo kwa kusema yale ni makubaliano, MoU au agreements. Kama ni makubaliano yanatakiwa yataje tu maeneo ya makubaliano na mambo yanayotakiwa kutekelezwa. Haiwezekani makubaliano yawe na binding terms ikiwemo kuweka vifungu vya kuzuia mkataba kuvunjwa ili hali hayo ni makubaliano.​
Point!!!!. Fully seconded
 
Nahisi kama kuna "kikundi cha watu" kimejipanga kula cake ya nchi.
"Ole wao wezi, wazinzi, wanyanganyi, na madhulumati kwani kiama chao ni lile ziwa liwako moto"!
 
Point!!!!. Fully seconded
Kwenye mkataba wa DPW na Tz kuna vipengele vinavyoleta sintofahamu kwa waTz wengi wenye mashaka navyo, kwa maana ya mustakabali wa afya ya uchumi na vilevile maana kamili ya uhuru na kujitawala kwa taifa.

ingependeza sana kama wahusika wangeweka hadharani kipengele kwa kipengele udhaifu uliopo kwenye maeneo husika pale bandarini. Vilevile wawaonyeshe wananchi ni kwa vipi serikali yenye DOLA inakiri kushindwa kuyashughulikia madhaifu hayo hadi ifike mahala ime-surrender na kuona ni bora kujikabidhi kwenye kampuni ambayo haina DOLA. Hii itatusaidia kuyapembua na kuyalinganisha yote yayouzunguka huu mjadala.
 
Asalaam,

Kila uchao maswali yanakuwa mengi bila majibu. Katika mijadala inayoendelea hasa hasa kuhusu bandari na mingine inayoanza kusikika kama TFS, TPDC, etc. Kuna eneo nimejaribu kuangalia kama limeongelewa sijaona. Kelele ni nyingi, uchungu ni mwingi, furaha ni kubwa, vijembe na tambo mbali mbali. Wako wanaolaumu na wanatoa sababu, wako wanao sifia na wanatoa sababu japo hawagusi vifungu ndani ya mkataba. Sasa swali la msingi: Je, NI NANI HASA HASA HUWA ANAFANYA MAAUZI JUU YA MASUALA MAZITO YA KIDOLA KAMA HAYA? Au ni Idara gani katika serikali, katika chama au katika bunge au taaisisi nyingine yoyote ile. Huyu mfanya maamuzi akijulikana akijulikana anaweza kuyafafanua haya.

Nimeona na kusikia haya majadiliano ya juzi akiwemo RA, Zitto, Jenerali na wengine wengi. Nao wamejaa vijembe, masengenyo na lugha tamu lkn kali kwa umma. Sijasikia mtu akihoji aliko mfanya maamuzi ya taifa hili, yaani walioamua na kuanza maongezi na hawa watia saini. Hawa wafanya maamuzi huwa wanamulikwa na kuangaliwa na nani au na chombo gani ili wasipige rushwa? Hicho chombo kama kipo kwanini hakijitokezi kuwasemea na kutetea? Kwanini kwanini kwanini kwanini?

Jambo la Pili

Nani hasa ni mlinzi wa hizi mali na rasilimali za taifa? Kwa kawaida huwa anazilinda kwa kutumia mbinu gani? Huyu mlinzi anasemaje juu ya usalama wa mali hizi, huyu mlinzi huwa analipwa na nani kuzilinda.?

Kwa maswali mengi ya namna hii najiuliza hivi Taifa hili lina yeyote anaelijua? Au lina yeyote anaejua linakoenda? Au bado wavumbuzi wanahangaika kulijua?

Mwisho

Hawa wanaoongea Wanasiasa, wapinga mkataba, Waunga mkono mkataba nani anatumia tumbo na nani anatumia akili? Au wote wako sehemu moja.

Tunendelee kujifunza
Tanzania ni mali ya CCM na ndiyo inayofanya maamuzi na uyafuate bila shuruti.
 
Nchi hii haina utaratibu mzuri katika mambo mengi ni wakati wa kujenga utaratibu mzuri kwa kila jambo.
Ndio maana kwangu Mimi Jaji Warioba na Mzee Butiku waasisi wa mambo mengi aliyofanya Nyerere Sasa warekebishe hata mapungufu, wasituachie misala
 
Wazanzibar Gani matajiri umewahi kufika Zanzibar uone umasikini ulivyotapakaa ?

Hao wazanzibar wanawazidi nini wananchi wa Geita au Katavi kwenye kulima au kujishughulisha ?
Mkurupukaji mwingine huyu 😂😂😂

Sizungumzii utajiri wa rasilimali. Watu wa visiwani kwenye kuchapakazi man to man wakija huku wanawakimbiza mpaka wazawa kwa kutoboa maisha.

Bisha na hilo

Kaa hapohapo ubishanie Rasilimali uone kama zitakunufaisha wewe. Zile si kwa ajili yenu nyinyi.... ni kwa ajili ya viongozi walamba asali na watoto wao na marafiki zao wa kigeni kutoka nchi zenye baridi na watu weupe wenye macho ya buluu na kijani na minywele mpaka viunoni. Mimi na wewe ndugu yangu tukachome mkaa Boko makunguru 😅👍🏾
 
mkuu samahani kwa taarifa,
hakuna nchi ya aina hii unayojaribu kuielezea hapa,.... hakuna nchi ambayo wananchi ndio wenye sauti ya mwisho (hasa kwa nchi zilizoendelea),

kuna forces behind the scene ndio zinaongoza mambo, na kama raisi/mtawala hataki kuongoza huwa wanatumia dirty tactics (umma) kumwondoa
FYI: Hata hao unaodai 'wanatumia dirty tactics' wanafanya hivyo kwa niaba ya umma/wananchi ambao ndio wenye mamlaka makubwa zaidi kuhusu mustakabali wa nchi zao. Hawafanyi hayo bila kupata mamlaka hayo kutoka kwa umma, tambua hili.
 
hiki ulichoandika hapa ndio tatizo letu namba moja, inaonekana hatuna watu wanao-dictate namna nchi inatakiwa iende, na wapi tutakua miaka zaidi ya 50-100 ijayo!,

anyway, mimi huwa naamini these are spiritual issues, kwamba hao watu lazima wawe na spiritual connection ili kutambua 50 yrs to come dunia itakua wapi, na nafasi yetu itakua ipi katika wakati huo.........

kwa sababu dunia haiendeshwi kwa mapenzi ya wanadamu, bali wanadamu wanatumikia mashauri ya nguvu za kiroho zinazoongoza dunia........,
Una akili kubwa sana! 👊🏾
 
Sasa inamaana hatuna tunakoenda. Hivyo waliopo wanaweza kufanya lolote ?
 
Deep
Asalaam,

Kila uchao maswali yanakuwa mengi bila majibu. Katika mijadala inayoendelea hasa hasa kuhusu bandari na mingine inayoanza kusikika kama TFS, TPDC, etc. Kuna eneo nimejaribu kuangalia kama limeongelewa sijaona. Kelele ni nyingi, uchungu ni mwingi, furaha ni kubwa, vijembe na tambo mbali mbali. Wako wanaolaumu na wanatoa sababu, wako wanao sifia na wanatoa sababu japo hawagusi vifungu ndani ya mkataba. Sasa swali la msingi: Je, NI NANI HASA HASA HUWA ANAFANYA MAAUZI JUU YA MASUALA MAZITO YA KIDOLA KAMA HAYA? Au ni Idara gani katika serikali, katika chama au katika bunge au taaisisi nyingine yoyote ile. Huyu mfanya maamuzi akijulikana akijulikana anaweza kuyafafanua haya.

Nimeona na kusikia haya majadiliano ya juzi akiwemo RA, Zitto, Jenerali na wengine wengi. Nao wamejaa vijembe, masengenyo na lugha tamu lkn kali kwa umma. Sijasikia mtu akihoji aliko mfanya maamuzi ya taifa hili, yaani walioamua na kuanza maongezi na hawa watia saini. Hawa wafanya maamuzi huwa wanamulikwa na kuangaliwa na nani au na chombo gani ili wasipige rushwa? Hicho chombo kama kipo kwanini hakijitokezi kuwasemea na kutetea? Kwanini kwanini kwanini kwanini?

Jambo la Pili

Nani hasa ni mlinzi wa hizi mali na rasilimali za taifa? Kwa kawaida huwa anazilinda kwa kutumia mbinu gani? Huyu mlinzi anasemaje juu ya usalama wa mali hizi, huyu mlinzi huwa analipwa na nani kuzilinda.?

Kwa maswali mengi ya namna hii najiuliza hivi Taifa hili lina yeyote anaelijua? Au lina yeyote anaejua linakoenda? Au bado wavumbuzi wanahangaika kulijua?

Mwisho

Hawa wanaoongea Wanasiasa, wapinga mkataba, Waunga mkono mkataba nani anatumia tumbo na nani anatumia akili? Au wote wako sehemu moja.

Tunendelee kujifunza
The State(Elites native n non native) chini ya deep state(Ghosts)
 
Askofu mmoja kasema lipo genge moja linamzunguka mwenye nyumba na lina nguvu kubwa.

Maana kwa hali ya kawaida huwezi kusema haya ni maamuzi ya Rais
 
Back
Top Bottom