Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Watu washasema msoga hadi tumechoka, hatujui kama wanasema ukweli au uongo.Asalaam,
Kila uchao maswali yanakuwa mengi bila majibu. Katika mijadala inayoendelea hasa hasa kuhusu bandari na mingine inayoanza kusikika kama TFS, TPDC, etc. Kuna eneo nimejaribu kuangalia kama limeongelewa sijaona. Kelele ni nyingi, mkataba, Waunga mkono mkataba nani anatumia tumbo na nani anatumia akili? Au wote wako sehemu moja.
Tunendelee kujifunza