Nani hasa anafanya maamuzi katika nchi hii ya Tanzania?

hiki ulichoandika hapa ndio tatizo letu namba moja, inaonekana hatuna watu wanao-dictate namna nchi inatakiwa iende, na wapi tutakua miaka zaidi ya 50-100 ijayo!,

anyway, mimi huwa naamini these are spiritual issues, kwamba hao watu lazima wawe na spiritual connection ili kutambua 50 yrs to come dunia itakua wapi, na nafasi yetu itakua ipi katika wakati huo.........

kwa sababu dunia haiendeshwi kwa mapenzi ya wanadamu, bali wanadamu wanatumikia mashauri ya nguvu za kiroho zinazoongoza dunia........,
 
mkuu samahani kwa taarifa,
hakuna nchi ya aina hii unayojaribu kuielezea hapa,.... hakuna nchi ambayo wananchi ndio wenye sauti ya mwisho (hasa kwa nchi zilizoendelea),

kuna forces behind the scene ndio zinaongoza mambo, na kama raisi/mtawala hataki kuongoza huwa wanatumia dirty tactics (umma) kumwondoa
 
Urais si nafasi ya mtu kuamka tu asubuhi na kupewa kama chai vile, matokeo ndio haya!
 
Wazanzibar Gani matajiri umewahi kufika Zanzibar uone umasikini ulivyotapakaa ?

Hao wazanzibar wanawazidi nini wananchi wa Geita au Katavi kwenye kulima au kujishughulisha ?
 
Point!!!!. Fully seconded
 
Nahisi kama kuna "kikundi cha watu" kimejipanga kula cake ya nchi.
"Ole wao wezi, wazinzi, wanyanganyi, na madhulumati kwani kiama chao ni lile ziwa liwako moto"!
 
Point!!!!. Fully seconded
Kwenye mkataba wa DPW na Tz kuna vipengele vinavyoleta sintofahamu kwa waTz wengi wenye mashaka navyo, kwa maana ya mustakabali wa afya ya uchumi na vilevile maana kamili ya uhuru na kujitawala kwa taifa.

ingependeza sana kama wahusika wangeweka hadharani kipengele kwa kipengele udhaifu uliopo kwenye maeneo husika pale bandarini. Vilevile wawaonyeshe wananchi ni kwa vipi serikali yenye DOLA inakiri kushindwa kuyashughulikia madhaifu hayo hadi ifike mahala ime-surrender na kuona ni bora kujikabidhi kwenye kampuni ambayo haina DOLA. Hii itatusaidia kuyapembua na kuyalinganisha yote yayouzunguka huu mjadala.
 
Tanzania ni mali ya CCM na ndiyo inayofanya maamuzi na uyafuate bila shuruti.
 
Nchi hii haina utaratibu mzuri katika mambo mengi ni wakati wa kujenga utaratibu mzuri kwa kila jambo.
Ndio maana kwangu Mimi Jaji Warioba na Mzee Butiku waasisi wa mambo mengi aliyofanya Nyerere Sasa warekebishe hata mapungufu, wasituachie misala
 
Wazanzibar Gani matajiri umewahi kufika Zanzibar uone umasikini ulivyotapakaa ?

Hao wazanzibar wanawazidi nini wananchi wa Geita au Katavi kwenye kulima au kujishughulisha ?
Mkurupukaji mwingine huyu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sizungumzii utajiri wa rasilimali. Watu wa visiwani kwenye kuchapakazi man to man wakija huku wanawakimbiza mpaka wazawa kwa kutoboa maisha.

Bisha na hilo

Kaa hapohapo ubishanie Rasilimali uone kama zitakunufaisha wewe. Zile si kwa ajili yenu nyinyi.... ni kwa ajili ya viongozi walamba asali na watoto wao na marafiki zao wa kigeni kutoka nchi zenye baridi na watu weupe wenye macho ya buluu na kijani na minywele mpaka viunoni. Mimi na wewe ndugu yangu tukachome mkaa Boko makunguru πŸ˜…πŸ‘πŸΎ
 
FYI: Hata hao unaodai 'wanatumia dirty tactics' wanafanya hivyo kwa niaba ya umma/wananchi ambao ndio wenye mamlaka makubwa zaidi kuhusu mustakabali wa nchi zao. Hawafanyi hayo bila kupata mamlaka hayo kutoka kwa umma, tambua hili.
 
Una akili kubwa sana! πŸ‘ŠπŸΎ
 

Sasa inamaana hatuna tunakoenda. Hivyo waliopo wanaweza kufanya lolote ?
 
Deep
The State(Elites native n non native) chini ya deep state(Ghosts)
 
Askofu mmoja kasema lipo genge moja linamzunguka mwenye nyumba na lina nguvu kubwa.

Maana kwa hali ya kawaida huwezi kusema haya ni maamuzi ya Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…