Asalaam,
Kila uchao maswali yanakuwa mengi bila majibu. Katika mijadala inayoendelea hasa hasa kuhusu bandari na mingine inayoanza kusikika kama TFS, TPDC, etc. Kuna eneo nimejaribu kuangalia kama limeongelewa sijaona. Kelele ni nyingi, mkataba, Waunga mkono mkataba nani anatumia tumbo na nani anatumia akili? Au wote wako sehemu moja.
Tunendelee kujifunza