twende step by step....kabla sijakujibu naomba unijibu ili nikueleze vizuri kwa kufuata point ya swali lako....naomba unambie kama inawezekana kupima intensity ya maumivu ya mtu kama akiumia huku akiwa hai...!!
kaka mbona unazunguka sana...unahitaji kujua maumivu basi jibu kwanza kama inawezekana kujua maumuvu ya mtu akiwa hai kwanza...nitakujibu ukijibu hili swali
Daah,wewe ndi unazunguka mzee,kama unajibu na unaniuliza mimi swali kwanza ili uweze kunijibu,hii ni ishara ya kuwa huna jibu na wewe ndio unae poteza muda.
Kwa kuzingatia adabu za uulizaji maswali na ujibuji wa maswali hapa sitakiwi kujibu swali lako kabla ya wewe kujibu swali langu,kwani kujibu kwangu swali lako kutapelekea haya :
1. Kitafuta pa kutokea kutokana na jibu nitakalo kupa au
2. Kuleta udanganyifu juu ya swali nililo kuuliza.
Sasa basi wewe jibu swalo langu kwanza kisha na mimi nijibu swalo lako. Swali lako ni rahisi sana.