Nani hasa anaimiliki na kuitawala dunia tunayoishi?

shit......unataka kujua kiwango cha maivu ili hali hutaki kusema maumivu yanaweza pimwa au laaah....

Yani sijui sehemu gani hujaelewa wew jamaaa....unahitaji kujua maumivu ...umeulizwa kuwa inawezekana kuyapima maumivu ya kawaida kabla hujafika huko kwenye kifo....??

usikalili kuwa siwezi kukujibu...hiyo ni kwa sababu unakalili ....yani elimu yako ni measurable aise...ww can detect your finite knowlege aise...kama huwezi kusema shortly basi hujui unachohoji...

Hapa kwangu lazima utakaa sawa tu.

Nimeamua kukufundisha sasa.
 
Sasa nataka nikwambie tu swali si la msingi kwa sababu zifuatazo :

1. Jibu la swali lako halihusiani na majibu utakayo toa ndio maana pale awali nilikupa sababu mbili za kutokukujibu swali lako.

2. Kwanini tujadili kiwango cha maumivu katika uhai hali ya kuwa swali langu limejikita katika muda maalumu wa kutoka kwa roho ?

Nipo ....
 
Hapa kwangu lazima utakaa sawa tu.

Nimeamua kukufundisha sasa.
Nasema hivi kale shule kwanza namna ya kupima Pain intensity kwa mtu wa kawaida kama ipo au haipo halafu next time uje hapa nitakuelekeza namna ya kupima maumivu ya mtu anayekata roho kutipa neural scientific evidence na sio kuropoka hapa...

Usiwe unakalili watu na maswali yako ya hovyo hovyo..watu washamove kitambo sehemu ulipo wewe wapo kwenye era ya evidence na sio belief...

Experiment kibao za kupima Pain intensity kupitia pain receptor zimeshafanyika na kila kity kinajulikana wew unakalili kuwa haiwezekani...!! you are not seriuz at ol....

Ndo mana nasema elimu zenu za kukalili uache...tena uache...kama hujui kitu kama kimya watakuja wajuzi wa mambo watakuelimisha....

umesema maumivu yapo halafu ukashindwa kutetea kama inawezekana au haiwezekani kupima ....

Kasome vizuri jinsi cardiac shut down inavyotake place huku electrical activity za pain zikirecord pain intensity....

The problem is hujui hata ninachokuuliza ndo maana...umekalili roho roho roho roho inapotoka ...na hiyo ndo shida ya wew jamaaa
 
pole sana aise....unadai una elimu wakati umeshindwa kujibu kama maumivu ya kawaida yanapimwa au laaa....sasa kama hujui hilo na nikikuoa quantity ya maumivu hayo utaelewa lakini...??

kwa sabubu huna kwanza elimu juu ya upimaji ya Impulse trasmission kwenye sensory tramsimission kwenda kwenye CNS halafu ubahitaji kujua kiwango cha maumivu mtu akiwa anakata roho....???...

Yani we jamaaa ni zuzu kabisaaa....

na nilikuwa nimekusubiri useme kuwa maumivu yanapimwa kisha unieleze ni njia zipi zinapima kupima Impulse pain intensity halafu na mimi ningekujibu vizuri maumivu hayo ya mtu anayekata roho kupitia scientific proof ambazo zipo wazi sio kwa watu nyie wabishi....

nahisi mpaka hapa nimekupa homework ya kufanya ..usirudie kuhoji kitu ambacho huwezi jibu in vice versa...

Hapa nacheka sana. Naona unaendeleza ubahatishaji na kuruka ruka.

Zuzu sikuanza kuitwa mimi bali waliitwa wale wabora kuliko mimi na wenye elimu kubwa zaidi yangu huu ni muendelezo tu.

Nasubiri jibu la swali langu,ya kwamba "Niambie maumivu anayoyasikia binadamu pindi anapo kata roho"

"Huwa naitika ninapo itwa ..."
 
Sasa nataka nikwambie tu swali si la msingi kwa sababu zifuatazo :

1. Jibu la swali lako halihusiani na majibu utakayo toa ndio maana pale awali nilikupa sababu mbili za kutokukujibu swali lako.

2. Kwanini tujadili kiwango cha maumivu katika uhai hali ya kuwa swali langu limejikita katika muda maalumu wa kutoka kwa roho ?

Nipo ....
yani tatizo you dont know anything about roho....na hapa ukiambiwa utoe utofauti kati ya roho ,nafsi na moyo ,ubongo na akili hutaweza...

nimekupa short hints namna ya kupima pain intensity kwa njia ya kawaida ambayo hujui saaa hata hiyo ya rohi yako na yenyewe hutaelewa.....naomba niendeleew kufanya shughuli zangu...
 
Nasema hivi kale shule kwanza namna ya kupima Pain intensity kwa mtu wa kawaida kama ipo au haipo halafu next time uje hapa nitakuelekeza namna ya kupima maumivu ya mtu anayekata roho kutipa neural scientific evidence na sio kuropoka hapa...

Usiwe unakalili watu na maswali yako ya hovyo hovyo..watu washamove kitambo sehemu ulipo wewe wapo kwenye era ya evidence na sio belief...

Experiment kibao za kupima Pain intensity kupitia pain receptor zimeshafanyika na kila kity kinajulikana wew unakalili kuwa haiwezekani...!! you are not seriuz at ol....

Ndo mana nasema elimu zenu za kukalili uache...tena uache...kama hujui kitu kama kimya watakuja wajuzi wa mambo watakuelimisha....

umesema maumivu yapo halafu ukashindwa kutetea kama inawezekana au haiwezekani kupima ....

Kasome vizuri jinsi cardiac shut down inavyotake place huku electrical activity za pain zikirecord pain intensity....

The problem is hujui hata ninachokuuliza ndo maana...umekalili roho roho roho roho inapotoka ...na hiyo ndo shida ya wew jamaaa

Kaka huwa sipotezi muda katika maswali ya kitoto na yenye majibu ya wazi.

Na hili swali langu wapelekee wakubwa zako na mpeane miaka na mikaka,ila katu hamta weza kujibu swali hilo.

Ninajua maana ya elimu na huwa sibahatishi katika kile ninacho kijua.

Nasubiri jibu la swali langu.
 
Sio "Umekalili" sahihi ni "Umekariri".

Kaka elimu haiongopi na hivi ndivyo mnavyoaibika msio jua maana ya usomaji.

Sasa wewe sababu umeshindwa kujibu swali langu rahisi,nataka nikupe elimu juu ya maumivu japo kwa uchache na salamu hizi uwafikishie wakubwa wako.

Maumivu yako ya aina mbili,na hili najua ulikuwa hulijui.

Kuna maumivu ya :

1. Kihisia na

2. Kimaana.

Nipo ....!

Je unajua wewe unazungumzia maumivu yapi ?
maaumivu ya kihisia na kimaana....ha ha you are not seriuz at ol....

Kuna mtu alisema kuwa ,If you cant explain shortly on something ,totally you dont know its meaning....

Wew umekalili mambo ya roho roho roho....unawezaje kuelewa mfumo wa roho ili hali huwezi toa ufafanuzi wa maumivu ya kawaida...??
 
yani tatizo you dont know anything about roho....na hapa ukiambiwa utoe utofauti kati ya roho ,nafsi na moyo ,ubongo na akili hutaweza...

nimekupa short hints namna ya kupima pain intensity kwa njia ya kawaida ambayo hujui saaa hata hiyo ya rohi yako na yenyewe hutaelewa.....naomba niendeleew kufanya shughuli zangu...

Nacheka sana. Na swali langu lilijikita katika Roho zaidi na nina jua hakuna yeyote mfano wako anae jua hili.

Na swali hilo ni dogo sana ila ukiingia hutoki. Unataka uizungumzie ROHO kwa vipimo vyenu na majaribio ya ubahatishaji.

Nipo.....
 
Kaka huwa sipotezi muda katika maswali ya kitoto na yenye majibu ya wazi.

Na hili swali langu wapelekee wakubwa zako na mpeane miaka na mikaka,ila katu hamta weza kujibu swali hilo.

Ninajua maana ya elimu na huwa sibahatishi katika kile ninacho kijua.

Nasubiri jibu la swali langu.
kwa taarifa yako sina mkubwa ninayompelekeaga utumbo kama wako wa kuhoji unachotaka wakati unashindwa kutoa ufafanuzi kwa kitu kidogo....sasa hicho kikubwa unakiweza kweli...??

Nikikuambia unipe sequence nzima ya jinsi mtu anavyokata roho hiyo unayokazia utaweza...?? si ndo utaanza kulazimisha hiki mara hiki...
 
yani tatizo you dont know anything about roho....na hapa ukiambiwa utoe utofauti kati ya roho ,nafsi na moyo ,ubongo na akili hutaweza...

nimekupa short hints namna ya kupima pain intensity kwa njia ya kawaida ambayo hujui saaa hata hiyo ya rohi yako na yenyewe hutaelewa.....naomba niendeleew kufanya shughuli zangu...

Huku usiingie mzee sababu hutatoka.

Turudi kwenye mada ya Maumivu.
 
Nacheka sana. Na swali langu lilijikita katika Roho zaidi na nina jua hakuna yeyote mfano wako anae jua hili.

Na swali hilo ni dogo sana ila ukiingia hutoki. Unataka uizungumzie ROHO kwa vipimo vyenu na majaribio ya ubahatishaji.

Nipo.....
Kili mbele ya kadamnasi kwamba hujui chochote zaidi ya kupiga mboyoyo humu...?? unaweza ukawambia watu kuwa unabisha kitu unachoweza kujua mechanism yake...

??

Yani umeshindwa kutolewa ufafanuzi wa pain intensity katika mazingira ya kawaisa sasa hiyo akiwa anakata hiyo rohi yako unaweza...?? na nilikuambia uelezee kama inawezekana kupima pain intensity katika mazingira ya kawaida na umeshindwa kwa hiyo sitakujibu swali lako...
 
Daah mnazingua kweli yani mpo palepale mnazunguka mbuyu, uzi unatembea lakin mpo pale pale kwani hilo swali lina umuhim gani we unaejua jibu hilo swali basi nasie tupate majibu tatizo mnaogopana
 
kwa taarifa yako sina mkubwa ninayompelekeaga utumbo kama wako wa kuhoji unachotaka wakati unashindwa kutoa ufafanuzi kwa kitu kidogo....sasa hicho kikubwa unakiweza kweli...??

Nikikuambia unipe sequence nzima ya jinsi mtu anavyokata roho hiyo unayokazia utaweza...?? si ndo utaanza kulazimisha hiki mara hiki...

Nacheka sana. Ndio maana mweupe sana katika hili,kumbe huna mkubwa katika hili. Huu ni uongo wa wazi kabisa. Mkubwa wako ni huyo ambae haya uliyatoa kwake hapa nimekukumbusha tu,au unataka kusema ujinga huu wewe ndio wa kwanza ?

Iheshimu elimu mzee,au wewe mwalimu wako GOOGLE nini ?
 
Kili mbele ya kadamnasi kwamba hujui chochote zaidi ya kupiga mboyoyo humu...?? unaweza ukawambia watu kuwa unabisha kitu unachoweza kujua mechanism yake...

??

Yani umeshindwa kutolewa ufafanuzi wa pain intensity katika mazingira ya kawaisa sasa hiyo akiwa anakata hiyo rohi yako unaweza...?? na nilikuambia uelezee kama inawezekana kupima pain intensity katika mazingira ya kawaida na umeshindwa kwa hiyo sitakujibu swali lako...

Kaka mimi kusema "sijui" katika jambo jambo ambalo sijui kweli ni nusu ya elimu na ndio kumenifanya nifike hapa. Kwahiyo hilo kwangu sio jambo kubwa,sasa hili ninalijua ndio maana nakuminya hapa hapa.

Na hii nakupa ziada na akiba ya maneno,kusema sijui kwangu mimi ni ushujaa na kukiri kukosea katika mambk ya kielimu ni tabia njema.

Nipo ....
 
Daah mnazingua kweli yani mpo palepale mnazunguka mbuyu, uzi unatembea lakin mpo pale pale kwani hilo swali lina umuhim gani we unaejua jibu hilo swali basi nasie tupate majibu tatizo mnaogopana
Mara nyingi pipo kama hizi huwa zinakalia kupiga mboyoyo tu ila hakuna lolote analojua zaidi ya kupoteza bando tu...

Yani anaweza akakomaa na point ya ajabu ambayo akiulizwa in reverse way anapoteza mwelekeo anabaki kwenye mambo yake ya kuwa na imani na muumba...basi mtoleee hata huo ufafanuzi hawezi....

he is strictly capture and tied with religous belief ila huyu jamaaa hamna kitu kichwani kabsaaa.....
 
Kili mbele ya kadamnasi kwamba hujui chochote zaidi ya kupiga mboyoyo humu...?? unaweza ukawambia watu kuwa unabisha kitu unachoweza kujua mechanism yake...

??

Yani umeshindwa kutolewa ufafanuzi wa pain intensity katika mazingira ya kawaisa sasa hiyo akiwa anakata hiyo rohi yako unaweza...?? na nilikuambia uelezee kama inawezekana kupima pain intensity katika mazingira ya kawaida na umeshindwa kwa hiyo sitakujibu swali lako...

Wewe unatakiwa mimi niwe mwalimu aisee,hasa katika lugha ya Kiswahili,hakuna tamko "...mbele ya kadamnasi" katika Kiswahili bali kuna "Kadamnasi"

Chukua hiki kilicho bora. "Kadamnasi" ni neno moja litokanalo na maneno mawili yenye asili ya Kiarabu. "Kadam" ni mbele na "Nasi" ni watu.

Au unataka nikutungie sentensi yenye tamko "Kadamnasi"

Ukiamua kusoma usome kweli na wala usijidai unasoma.

Nipo.....
 
Mara nyingi pipo kama hizi huwa zinakalia kupiga mboyoyo tu ila hakuna lolote analojua zaidi ya kupoteza bando tu...

Yani anaweza akakomaa na point ya ajabu ambayo akiulizwa in reverse way anapoteza mwelekeo anabaki kwenye mambo yake ya kuwa na imani na muumba...basi mtoleee hata huo ufafanuzi hawezi....

he is strictly capture and tied with religous belief ila huyu jamaaa hamna kitu kichwani kabsaaa.....

Umeambiwa ujibu hilo swali kaka. Mimi nimekupa sababu mara mbili kwanini sijibu swali lako.

Sasa na wewe embu nipe sababu hata moja ya kwanini nijibu swali lako.

Usipoteze muda.
 
sasa kama hujui kwanini ulishindwa kusema mwanzoni kuwa hujui kama tunaweza pima pain intensity katika mazingira ya kawaida mpaka nimekuja kukwambia...??

Kilichokuwa kimekufanya uumute ni nini sasa kama hujui....??

ndo mana nilikwambia acha kujifanya unajua wakatu kuna some point una lag behind sana kaka...

Kwenye kujifunza hakunaga ubabe...ukilazimisha point moja wakati poibt nyingine unashindwa utakosa jibu sahihi...

Ona sasa unavyonibambikia jambo ambalo sijalisema,nimezungumzia "sijui" kwa maana ya ujumla bali sijajibu lako la intensity ya maumivu sababu nilishakupa huko nyuma.

Uwe makini latika usomaji wa hoja zangu.

SIJAJIBU SWALI LAKO BADO,SABABU NIMESHAKWAMBIA KWANINI SIJIBU SWALI LAKO.
 
Wewe unatakiwa mimi niwe mwalimu aisee,hasa katika lugha ya Kiswahili,hakuna tamko "...mbele ya kadamnasi" katika Kiswahili bali kuna "Kadamnasi"

Chukua hiki kilicho bora. "Kadamnasi" ni neno moja litokanalo na maneno mawili yenye asili ya Kiarabu. "Kadam" ni mbele na "Nasi" ni watu.

Au unataka nikutungie sentensi yenye tamko "Kadamnasi"

Ukiamua kusoma usome kweli na wala usijidai unasoma.

Nipo.....
Ohoo kiswahili kigumu...pengine wewe ni mwalimu mzuri wa kiswahili lakini kwenye mambo mengine hujui....binafsi sifahamu vizuri lugha hii ya kiswahili labsa ndo pengine nakosea specifically spelling zake lakini kama umegeuka tena kwenye spelling basi utakuwa na shida brooo...sio bure...

huwezi ukakosa cha kujitetea ha ha ha...

Ila nimekupa Airtime ya maana si ndio mkuu ha ha ha nikuache basi mwalimu wangu wa kiswahili ila naamini nachotemaga kuna watu huwa wanakielewa ndo mana wanalike ila watu wanaofuatilia spelling kama nyie ndo mnaokosea...

nahisi ni kutokana na lugha ya Kiswahili kuwa ngumu kwa baadhi ya watu kama sisi ndo mana nakosea sna...ila nadhani nimekupa airtime ya kutosha japo umeshindwa kutetea unachotaka kujua
 
Back
Top Bottom