Nani hasa anastahili kubeba BALLON D'OR

Anastahili modric ila kwa kuwa FIFA inaendeshwa kibiashara zaidi mshindi atakuwa Ronaldo
Kombe la dunia ni michuano yenye hadhi kubwa sana kuliko michuano mingine yoyote, ndo maana mchezaji anaefanya vizuri zaidi kwenye michuano hiyo ni rahisi kupata tuzo ya mchezaji bora duniani.

Ukirejea Fabio Cannavaro 2006, Ronald de Lima 2002, Zinedine Zidane 1998 na Romario 1994.Lakini timu zilizoshinda kombe hilo 2010, 2014 na 2018 zimechagizwa zaidi na collective performance ya timu kiujumla kuliko individual brilliance ya mchezaji mmoja mmoja.

Hivyo basi Modric hawezi kumshinda Cristiano Ronaldo
 
kwa kipi alicho kifanya?
Hukuona mkuu....
uliangalia player rating kati ya mechi ya France na Belgium aliongoza
kwa kuwa na point 8.5 akifatiwa na Greezman point 8..
lkn pia amekuwa mchezaji bora kijana kwenye world cup....
unless uniambie ulikuwa unaangalia tamthiliya....
huyo dogo ndio mchezaji bora ajaye baada ya Mesi na Ronaldo
 
Naona changes kutoka kwenye wale magiant wetu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…