Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabeba kombe gani mkuu?Mo Salah
Kwani wanaangalia ubebaji kombe au ubora wa mchezaji,.chief!?Kabeba kombe gani mkuu?
Kombe ni chachu ya kufanikisha hiloKwani wanaangalia ubebaji kombe au ubora wa mchezaji,.chief!?
Basi naamini huko kwao atakuwa kachukua makombe hata ya mbuzi tuu,.Kombe ni chachu ya kufanikisha hilo
Hahahaha mkuu ujue unamaanisha liverpool hapoBasi naamini huko kwao atakuwa kachukua makombe hata ya mbuzi tuu,.
Ww si huoni makombe yao chief[emoji23]Hahahaha mkuu ujue unamaanisha liverpool hapo
kwa kipi alicho kifanya?Mbape
kama ni kuongoza kwa magoli ktk ligi MESSI naye aliongoza kule La liga,CR 7 naye aliongoza kwenye UEFA .so hao watatu ngoma ni droo.tunataka aliye fanya vizuri angalau amashindano 2 tofautiSalah
Kombe la dunia ni michuano yenye hadhi kubwa sana kuliko michuano mingine yoyote, ndo maana mchezaji anaefanya vizuri zaidi kwenye michuano hiyo ni rahisi kupata tuzo ya mchezaji bora duniani.Anastahili modric ila kwa kuwa FIFA inaendeshwa kibiashara zaidi mshindi atakuwa Ronaldo
Hukuona mkuu....kwa kipi alicho kifanya?