kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Nyerere alikuwa geniusHivi kwa Uhalisia genius Wanafaa Kuongoza Nchi Ili Kuweza Kuleta Maendeleo Kutokana Na Uwezo Wao Wa Kuwa Na IQ Kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyerere alikuwa geniusHivi kwa Uhalisia genius Wanafaa Kuongoza Nchi Ili Kuweza Kuleta Maendeleo Kutokana Na Uwezo Wao Wa Kuwa Na IQ Kubwa
Kwa wana HIPHOP GENIUS ni yule anaeweza kufreestyle, yaan kufreestyle na sio kuimba nyimbo aliyoitunga sijui mleta mada umenipata??
Ukitaka mfano mzuri ingia youtube tafuta huyu jamaa MEX CORTEZ DK 10 za maangamizi kisha angalia then watu wa namna hiyo ndio ma genius.
Jamaa wakati anachana akaulizia zimebaki dk ngp sam akamjibu bado dk moja, then jamaa akaanzia kuchana hapohapo alipoambiwa
Bado dk moja?/ Ee bwana niko frxh mbn nimemaliza fasta bila hoja/ niko humu ndani ninachana kama soja/ mchiz umenipata mwisho wa siku utangoja/
Umeonaa eeeh, sasa lengo langu ni nini?
Genius ni yule anaeweza kujua litakalotokea mbeleni kabla ya mtu wa kawaida hasa kama kwenye masuala hayo ya freestyle anaweza jua aweke nini mbele ili vina vifanane wakati huohuo anachana(multi purpose)
Pia kimasomo unakuta mtu umempa swali la hesabu analicheck sekunde kadhaa anakupa jibu la ukweli bila hata kulifanya.
Pia multi purpose people ni ma genious, mfn unakuta jamaa anaongea na simu na mpenzi wake tena mambo ya love huku mda huohuo anapiga intergration, complex number ......
hawa pia ni genius DR SHIKA na AGUSTINO LYATONGA MREMAGenius ni mtu mwenye suluhisho wa mambo ama jambo ambalo mtu wa kawaida hawezi kutekeleza... Moreover, Genius Hutumia akili yake kufikiria na kutatua complex issues kwa njia rahisi sana ...ma - genius wengi wazazi wao walikuwa na lishe bora kuanzia wakati wa mimba na miaka miwili ya kunyonyeshwa maziwa yenye virutubisho muhimu kutoka kwa mama! Inasemekana Africa kuna Genius wengi sana ila waliharibiwa na utapi wa Mlo pamoja na Sindano nyingi zikiwemo chanjo ya ndui!! Inasemekana watoto wengi waliozaliwa miaka ile ya unga wa yanga hawana akili kwani hawakupata virutubisho muhimu! Sasa hivi wanasema kuwa watoto hawana akili kutokana na life style yetu ya ulevi na kula vyakula vya supermarket ...
Context ya Quran. Which is appropriate for the given etymology of the word, which is appropriate for the concept, which is appropriate for your edification.