Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

kuna tofauty kati ya uganga wakienyeji na u genius
Kuna genius aina nyingi sana hata ukiangalia wale wakemia wa zamani alchemist na herbalist walikuwa na uwezo mkubwa kutatua jambo kubwa ambalo wengine wanashindwa kwamfano alikuwepo huyu jamaa mohammed ibin raz kwa kipindi hicho walijulikana kama waganga na wapiga ramli.
 
angalia mfano hai ktk darasa lako wale waliokua na akili sana wameishia kuishi maisha ya kawaida sana tena labda maisha duni wale waliokua na akili wastani chek wengi wametoka kimaisha........mf tu
Dah kweli, lakini kwa nini most of em wanakuwa hivyo au wanaishia njiani 2na/wanaona shuleni hakuna changamoto zaidi ya kuona yale tu wanayoyajua kupindukia, ni vyema kwenda mtaani kusaidia jamii
Case closed
 
Naona tuna wasahau watu kama Leonardo da Vinci hivi huyu jamaa ana akili sijawahi ona Kwa mawazo yangu Nampa nambari 1
 
angalia mfano hai ktk darasa lako wale waliokua na akili sana wameishia kuishi maisha ya kawaida sana tena labda maisha duni wale waliokua na akili wastani chek wengi wametoka kimaisha........mf tu
Uongo huuu
 
Pamoja na kuleta mada nzuri,tangu siku 3 zilizopita,lakini inashangaza hakuna aliyekujibu,ngoja mimi nifanye kazi hi:Genius ni mtu yeyote ambaye ana uwezo mkubwa wa kutambua mambo kabla hayajajiri,hapa siamanishi eti ni mtabiri,ni mtu ambaye huwezi kamwe kuichezea akili yake,mwepesi wa kuelewa na kujifunza kwa uangalifu wa hali ya juu,mbunifu,jasiri,na anayeweza kufanya maajabu ya karne ktk jukumu lolote alilopewa!
Mtu mwenye uwezo wa kusolve social problems kwa haraka na kwakutumua ufanisi mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio kweli. standard IQ ni 125%. genius wanaanzia 150 na kuendelea. kipimo sio lazima sayansi mi kwenye jambo lolote. mfano Messi kwenye mpira au opra kwenye tv shows au ccm kwenye wizi wa kura wanategewa africa ya mashariki na kusini.
Hahaa ccm nao ni ma genius !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Everybody is a genius but if you judge a fish by its ability to climb a tree,it'll live all its life believing that it's stupid-Albert Einstein.

I'm the definition of genius sema kuzaliwa bongo nako nuksi tu mtu huendelezwi/hupewi mwongozo kuelekea kwenye mlengo wako.

Mfumo wa elimu uko hostile kwetu.


Samaki ukimpeleka nchi kavu hawezi onesha mbwembwe zake.
Exactly indeed mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alafu sijui kwann edson anajizolea sifa za bure...
Huyu alikuwa ni mfanya biashara alikuwa ana invest pesa kwenye tafiti za tesla ..so mi-pesa yake ndiyo iliyomfanya Apate umaarufu kwa sababu tesla alipokuwa akigundua kitu at end of the day kina kuwa chini ya kampuni ya Edison lakini kwa jina la ugunduzi wa tesla ni kwa sbabu waliingia hiyo mikataba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wana HIPHOP GENIUS ni yule anaeweza kufreestyle, yaan kufreestyle na sio kuimba nyimbo aliyoitunga sijui mleta mada umenipata??
Ukitaka mfano mzuri ingia youtube tafuta huyu jamaa MEX CORTEZ DK 10 za maangamizi kisha angalia then watu wa namna hiyo ndio ma genius.

Jamaa wakati anachana akaulizia zimebaki dk ngp sam akamjibu bado dk moja, then jamaa akaanzia kuchana hapohapo alipoambiwa

Bado dk moja?/ Ee bwana niko frxh mbn nimemaliza fasta bila hoja/ niko humu ndani ninachana kama soja/ mchiz umenipata mwisho wa siku utangoja/

Umeonaa eeeh, sasa lengo langu ni nini?

Genius ni yule anaeweza kujua litakalotokea mbeleni kabla ya mtu wa kawaida hasa kama kwenye masuala hayo ya freestyle anaweza jua aweke nini mbele ili vina vifanane wakati huohuo anachana(multi purpose)

Pia kimasomo unakuta mtu umempa swali la hesabu analicheck sekunde kadhaa anakupa jibu la ukweli bila hata kulifanya.

Pia multi purpose people ni ma genious, mfn unakuta jamaa anaongea na simu na mpenzi wake tena mambo ya love huku mda huohuo anapiga intergration, complex number ......
 
Back
Top Bottom