elixer of life
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 633
- 624
Hapana wengi huwa hawapendi siasa angalia hata akina eistein na nico walikuwa agaist politicsHivi kwa Uhalisia genius Wanafaa Kuongoza Nchi Ili Kuweza Kuleta Maendeleo Kutokana Na Uwezo Wao Wa Kuwa Na IQ Kubwa
Kuna genius aina nyingi sana hata ukiangalia wale wakemia wa zamani alchemist na herbalist walikuwa na uwezo mkubwa kutatua jambo kubwa ambalo wengine wanashindwa kwamfano alikuwepo huyu jamaa mohammed ibin raz kwa kipindi hicho walijulikana kama waganga na wapiga ramli.kuna tofauty kati ya uganga wakienyeji na u genius
Dah kweli, lakini kwa nini most of em wanakuwa hivyo au wanaishia njiani 2na/wanaona shuleni hakuna changamoto zaidi ya kuona yale tu wanayoyajua kupindukia, ni vyema kwenda mtaani kusaidia jamiiangalia mfano hai ktk darasa lako wale waliokua na akili sana wameishia kuishi maisha ya kawaida sana tena labda maisha duni wale waliokua na akili wastani chek wengi wametoka kimaisha........mf tu
ww upoje/????????????????????Awe kama mimi
Ni genius kama id yanguww upoje/????????????????????
Huyo ndio mtu wa kwanza kujitangaza hadharani ni gay.Naona tuna wasahau watu kama Leonardo da Vinci hivi huyu jamaa ana akili sijawahi ona Kwa mawazo yangu Nampa nambari 1
Hivi kwa Uhalisia genius Wanafaa Kuongoza Nchi Ili Kuweza Kuleta Maendeleo Kutokana Na Uwezo Wao Wa Kuwa Na IQ Kubwa
Uongo huuuangalia mfano hai ktk darasa lako wale waliokua na akili sana wameishia kuishi maisha ya kawaida sana tena labda maisha duni wale waliokua na akili wastani chek wengi wametoka kimaisha........mf tu
Alio gundua ndege siyo genus?hapana hao jamaa ni hatar hawafai kuongoza hata ndege. kuna mstar mdogo sana unaotenganisha uchiz na ugenius.
Mtu mwenye uwezo wa kusolve social problems kwa haraka na kwakutumua ufanisi mkubwa.Pamoja na kuleta mada nzuri,tangu siku 3 zilizopita,lakini inashangaza hakuna aliyekujibu,ngoja mimi nifanye kazi hi:Genius ni mtu yeyote ambaye ana uwezo mkubwa wa kutambua mambo kabla hayajajiri,hapa siamanishi eti ni mtabiri,ni mtu ambaye huwezi kamwe kuichezea akili yake,mwepesi wa kuelewa na kujifunza kwa uangalifu wa hali ya juu,mbunifu,jasiri,na anayeweza kufanya maajabu ya karne ktk jukumu lolote alilopewa!
Hahaahapana hao jamaa ni hatar hawafai kuongoza hata ndege. kuna mstar mdogo sana unaotenganisha uchiz na ugenius.
Hahaa ccm nao ni ma genius !!?sio kweli. standard IQ ni 125%. genius wanaanzia 150 na kuendelea. kipimo sio lazima sayansi mi kwenye jambo lolote. mfano Messi kwenye mpira au opra kwenye tv shows au ccm kwenye wizi wa kura wanategewa africa ya mashariki na kusini.
HahaaNi mtu aliyeweza kuishi dar na kula milo yote mitatu yaani asubuhi, mchana na jioni
Exactly indeed mkuu
Everybody is a genius but if you judge a fish by its ability to climb a tree,it'll live all its life believing that it's stupid-Albert Einstein.
I'm the definition of genius sema kuzaliwa bongo nako nuksi tu mtu huendelezwi/hupewi mwongozo kuelekea kwenye mlengo wako.
Mfumo wa elimu uko hostile kwetu.
Samaki ukimpeleka nchi kavu hawezi onesha mbwembwe zake.
Hahaakumbe omary nae genius .......ana miaka kumi na 9 anatoka na mmama wa miaka 50 amaizing
Huyu alikuwa ni mfanya biashara alikuwa ana invest pesa kwenye tafiti za tesla ..so mi-pesa yake ndiyo iliyomfanya Apate umaarufu kwa sababu tesla alipokuwa akigundua kitu at end of the day kina kuwa chini ya kampuni ya Edison lakini kwa jina la ugunduzi wa tesla ni kwa sbabu waliingia hiyo mikatabaalafu sijui kwann edson anajizolea sifa za bure...